Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 23,877
- 31,632
Leo sehemu nyingi vitu vimepanda bei balaa.
Kilo moja ya nyama elfu 17
Nyanya moja 500
Chips yai elfu 5
Soda elfu 1
Nk nk
Kwa mwendo huu ni ngumu watu kufikia lengo
Hapo hakukuwa na maandamano hali ipo hivyo je maandamano yakiwepo angalau wiki 1 si itakuwa balaa zaidi
Tamaa za wafanyabiashara zinakandamiza watu waliokuwa na nia ya kuandamana kesho hivyo ile morali ya maandamano inadhoofika.