Mwita25
JF-Expert Member
- Apr 15, 2011
- 3,831
- 1,164
Hivi kweli unaanzisha mada shikamooo invisible inakuiingia akilini n.k ?
naona unamaanisha mimi siyo?
Hivi kweli unaanzisha mada shikamooo invisible inakuiingia akilini n.k ?
hazbendi wake ndo mwenye kampuni komredi. think! mwamba think!
Honey, natoka kidogo, naenda kukuna nazi ya kukuwekea kwenye maji ya kuoga... Usinisaliti tafadhali..hehehe swagga zangu mala nakuimbia kuch kuch hotahe. sisi ndo manatural born lover bana
Hahahaha!!! I was trying to see kama radar yako inafanya kazi nimehakikisha inafanya kazi vizuri na inaweza ku-detect enemies.....lolhalafu wewe dogo punguza speed aisee..
ameshakuwa 'our ' lovely tiny fish?
Na uzuri wa guest za uswazi hawauzi vocha angekugeuzia kibao ninunulia bugger ninunulie bugger
heheh halaf hazbendi wenyewe kwa mbaali kafanana na gorilla. kamanda umeona mbali kweliHapo mpwa hazbendi wake anaweza kukupa adhabu ya Cameroon mwaka mzima
Aisee our lovely tiny fish vipi......lol
Honey, natoka kidogo, naenda kukuna nazi ya kukuwekea kwenye maji ya kuoga... Usinisaliti tafadhali..
usiweke na pilipili manga kama jana, ziliniwasha kweli sehem za reproduction (nimeongea kisayansi ili wazembe wasielewe)
USISAHAU NA TANGAWIZI NA MDALASINI MADIKODIKO MENGINE MPM NAZJAZHoney, natoka kidogo, naenda kukuna nazi ya kukuwekea kwenye maji ya kuoga... Usinisaliti tafadhali..
KAKA LOHusiweke na pilipili manga kama jana, ziliniwasha kweli sehem za reproduction HATA HAPA NAJIKUNA BALAA HUKU KWA CAMERUUN SITE (nimeongea kisayansi ili wazembe wasielewe)
halaf mheshimiwa ile avatar imepotelea wapi? au tayari ishafikia malengo?wewe unatufanya tuonekane wehu kwa kucheka na lap top aisee lol
Khaaaaaa! umesoma mzumbe nini?KAKA LOH
FafanuaWatu wamepumzika....
Fafanua
Boss Boss taratibu "Trespassers will be prosecuted"dogo au tubadilishane?
nikupe 'tiny fish'
unipe the 'pilot'????