Hivi kweli unaanzisha mada shikamooo invisible inakuiingia akilini n.k ?Wamechoka kufutiwa mada zao.
Blaki kaavator kako mmmmmh, mkoloni naye we acha tu.mkoloni kawabana
Ila kuna watu wana wivu wivu sana humu.tupo boss sema tait
napita tu hapa
love u sana u always make mi smile mwaaaaaaaa boss
mkuu safi tuu
za kwako?
watajiju nina mpango wa kuwa nyumba ndogo so naanza kuwekeza kwa the bossIla kuna watu wana wivu wivu sana humu.
Ila kuna watu wana wivu wivu sana humu.
watajiju nina mpango wa kuwa nyumba ndogo so naanza kuwekeza kwa the boss
vigezo na masharti kuzingatiwa
MMU members ni 18
chit chat members 4.. tu..
tatizo ni umeme tu?au networks pia?
au kuna lingine?
sio kawaida ya jf....
mmmh mbele ya the boss upo permanently deleted mkuuKwa hiyo mi umenitosa au nimewekwa pending
Kwa hiyo mkuki kumbe kwa nguruwe.Kama mimi aise wivu hapa tayari
haya maneno nilitakiwa kuambiwa mimi ila anaambiwa mtu mwingine bana