Leo vipi leo?

Leo vipi leo?

uskute wakija hapa watabishia! halaf kuna wengine mapepo mabaya sana, kuna mmoja nilimshuhudia yalimpanda akaanza makelele, "vua kondom!" nimesemaa vua kondomm! heheeh mzembe nikafkiria angaza namimi nikapandisha yangu ya kinafiki nikamwambia "havui mtu, wala hafi mtu", akastuka halaf akaendelea "naomba hela ya vocha" naomba hela ya vocha, na pepo langu la kinafik likajibu "nimelipia gesti" nimelipia gesti. Nilisevu baada ya kivumbi kikali
Kweli pepo lako la kinafiki limekusaidia kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi heeeeeeeeh
 
Halaf haya maquote mbona hayafanyi kazi? @ lizzy , deal signed.

Roger that!!

Afafu JF ilikua na kwikwi jana nikashindwa kupost reply kwa Mr Rocky!!
Nwy...Mr Rocky asante for missing me...I miss you too pal!!Muda kweli hatujagongana jamvini!
 
Hahahaha Excel una lako wewe
Mzima kaka

Kaka mi mzima bhana!

Wakati uzi unaletwa mi nilikuwa nasoma definition ya international trade!

Yani denti kabisaaaa!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom