Leo vipi leo?

Mimi nimechelewa kutia timu kidogo nilikuwa natoa ushauri nasaha kwa ndoa flani ambayo imesambaratika zaidi baada ya mimi kuhuzuria. Nipeni pole greti thinkaz

duh.....lol.....
ushauri nasaha au kuimalizia kabisa?lol...
 
Duh!Kweli leo sijui vipi,nimevaa sarawili nikasahau vya ndani mpaka nikahisi kama sijavaa vile!
 
Nimesibitisha leo kama wanawake wana mapepo kweli kamanda, nimeenda kusuluhisha kadada kamevaa kimini na kitop kitovu nje, heheeh lawyer nikapoteza mwelekeo nikaanza kukapendelea kadada, njemba ikazua sheshe la kufa mtu. Nimezima simu

Hata vitabu vya Mungu vinasema wanawake wanamapepo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom