Leo tupo Musoma

Wahuni wengi,kuna bar pale kiufupi ni moja kati ya mtaa ambao unavimbwanga vingi kama wizi, ukabaji, dada poa, makundi kama Jamaika Mokaz, Football players,Rich family kiufupi mzee mitaa zote za Msm Masstown wanavyopaita nimechafua sana wazaliwa wengi nawajua
Aahh
 
nimepamisi huko balaa kwanzia iringo nilipozaliwa mwisenge mtaa wa mkinyerero nilipokulia,mwisenge primary na secondary niliposomea,mtakuja,buhare,nyasho,kigera,makoko mukendo,bweri na majita road mitaa imenilea

asante sa a mleta mada kwa huu uzi nakumbuka sehemu za bata kama bwalo la polisi,mativila Beach,tembo Beach,Musoma hotel,pensula complex na hotel na dream garden n.k

tarudi tena kuendelea kueleza mazuri ya musoma yangu.
 
Musoma Maeneo Ya Mkendo
Nilikula Ugali Wa Mtama Kwa Samaki
Hatari Sana, Kitu Kizuri
 
nimepamisi huko balaa kwanzia iringo nilipozaliwa mwisenge mtaa wa mkinyerero nilipokulia,mwisenge primary na secondary niliposomea,mtakuja,buhare,nyasho,kigera,makoko mukendo,bweri na majita road mitaa imenilea

asante sa a mleta mada kwa huu uzi nakumbuka sehemu za bata kama bwalo la polisi,mativila Beach,tembo Beach,Musoma hotel,pensula complex na hotel na dream garden n.k

tarudi tena kuendelea kueleza mazuri ya musoma yangu.

ukirudi nitarudi, nasikia kuna mtaa fulani pale Musoma kuna mzee aliweka mlangoni kwake kibao cha NIPO/SIPO ili kuwajulisha wageni wake
 
nimepamisi huko balaa kwanzia iringo nilipozaliwa mwisenge mtaa wa mkinyerero nilipokulia,mwisenge primary na secondary niliposomea,mtakuja,buhare,nyasho,kigera,makoko mukendo,bweri na majita road mitaa imenilea

asante sa a mleta mada kwa huu uzi nakumbuka sehemu za bata kama bwalo la polisi,mativila Beach,tembo Beach,Musoma hotel,pensula complex na hotel na dream garden n.k

tarudi tena kuendelea kueleza mazuri ya musoma yangu.
Wenyeji mmepakimbia kwenu mmetuachia sie wageni

Sent from my AMN-LX9 using JamiiForums mobile app
 
Vituo vya huduma za afya Musoma MC
Kwangwa disp, rwamlimi disp, makoko disp siku hizi wameifanya health centre, bweri hc, buhare disp, nyamatare disp, iringo disp ambayo kwa sasa imefungwa sababu ya maji ya ziwani kuzidi, na nyasho hc government zote, faith based kama aict bweri hc, coptic hc, za jeshi magereza disp, makoko KJ disp na private hosp kama omega, CF hospital musoma nimezunguka sana

Sent from my AMN-LX9 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom