Leo tupo Musoma

Hahaaa shinyanga aisee hapafai. Nilikuwa last week hapo kwasiku tatu, mayoo nilikoma. Ila Kuna kiwanja kipya kimeanzishwa ni kizuri Sana kinaitwa level one Kama skosei.
Hapa Pagumu Wabongo Wanasema Hapanogi Kabisa Yaani Hata Kurumangia Kwa Kachumbari
😶😶🤨🤨
 
Mwenye buku tano jamani ndugu zangu naomba anisaidie jamani nimekwama hapa umeme luku umeisha na ni zamu kulipia na nikijicheck sina kitu mfukoni mpaka jumatatu ndo niingie job mwenye nayo mi ntamrudishia 0674615883 jina john nyambina
Ha ha ha
 
I was been there for almost 20 years asee uniambii kuhusu bwalo la Magereza, mara dishes, Line polisi, kwa mapinduzi show room, stend ya zaman, sokoni, mwigobero, kwa Manoti photostudio, Metre po, kwa hussein sokoni, Baraka muuza vifaa vya pikipiki, mtaa wa keneddy kwenye ofisi ya kimotco na Coast line, Kwa chief kiumbe, bank ya NBC, mtaa wa iringo mpk kule kastamu, kwa ostaz muuza chips maarufu, kwa mpika vitumbua Masisa wajukuu wake wapo dar wanauza uji, mtaa wa mkendo kati, mkendo kubwa pale kwa mafundi pikipiki wanamuita Father,Shabani yote, mtaa wa makongoro mpk nyamatare kote nimechafua plus kusoma shule za nyakato kule kama unaenda kiwanda cha nguo Mutex, machinjioni, lwamlimi kote nimechafua
 
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uo mtaa wa makongoro unanini...hasaa naona unasifiwa sifiwa
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom