Leo tuongee na wanaume vibonge, mnazingua sana wanetu

Status
Not open for further replies.
Mwanaume umeshajua wewe ni mnene umejinenepea kama kiboko basi jisitiri.

Kwa nini unatutia aibu kwa kuvaa boxer ndogo isiyofunika makalio yote mpaka juu?

Kwa nini uvae T shirt au shati ndogo isiyokuenea mpaka tumbo lionekane kama umevaa kitop au ukiinama mfereji wa matako unabaki wazi makalio nje?

Unakuta jitu bonge linashindwa kuvaa vest ndani kujisitiri likiinama sega lote nje.

Ukishakuwa mnene wewe vaa vest na manguo makubwa yanayofunika mwili wote acha kututia aibu.

Inachukiza sana kuona mwanaume kainama halafu mfereji wa matako unaonekana.

Mabonge wengi ni kama hata akili zao hazipo sawa, unakuta limeinama na mfereji wa matako upo wazi na lenyewe linaona sawa tu. Ni upuuzi na ujinga mkubwa kabisa.
​
Na wengine wanapenda kukaa vifua wazi wakati wanajua kabisa wana vifua vya kike mambo ya hovyo kabisa haya
Watu wajistiri

Ujumbe umefika. Tukumbushane kufanya zoezi kidogo, sio lazima uende gym.....vikazi vidogo vidogo mnavyowapa house boys ndio zoezi lenyewe hiloo...jasho litoke walau nusu saa na misosi isiwe mingi sanaa
 
Kwani mabonge tumewakosea nini vimbaumbau? Kwanini kila mtu asiishi maisha anayoyapenda? Wewe kama unapenda supu ya bamia na bilinganya it's good for you. Waache wanaopenda supu ya mbuzi chapati mbili nao wafurahie maisha yao.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom