Kwanza Kishki hajasoma Albadiri, alichofanya ni kumuapiza Afande Sele kutokana na jazba yake, Al Badiri ni kisomo kinachosomwa na baadhi ya wanaoamini ni kuwa unamshitakia Mungu kupitia wale waliyopigana vita vya Bader na nina uhakika Kishki hajafanya hivyo.KIFO NI AHADI.
Kusoma Al badri NI Jambo jingine na KUJIBIWA NI JAMBO JINGINE.
hapo hata kama haijajibiwa haimaanishi afande sele alikuwa sahihi.
Muda wake utafika
Alichokifanya ni kumuomba Mungu kwa ajili ya kitendo alichokifanya Sele pale msikitini kwake na kwenye kuomba kuna kukubaliwa au kutokubaliwa. Lakini juu ya yote hayo tulisikia kutoka kwa Sele akiomba msamaha kwa aliyoyatenda na vilevile sheikh wa mkoa naye alizungumzia juu ya kadhia hii na kwa ujumla wake mambo yaliwekwa sawa na maisha yanaendelea, hii habari aidha mtoa mada hajajua kuwa case ni dismiss au kama anajua ila anataka kuleta "uchochezi" hiyo ni tafsiri ndogo kwa uzi huu. Tunaomba tupo kwenye mfungo basi tutumie muda mwingi kutafakari kusudio zima la funga zetu.