KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 36,515
- 89,009
Pole sana dada wa watu..😅😅kwa mbalii
Pole sana dada wa watu..😅😅kwa mbalii
Hakika ndugu yangu.Hii fani ya mapenzi ina watu wa wazima na vijana na watoto.
Huyu mleta maada ni mvulana na wanao fika kwake wasichana.
Sent using Jamii Forums mobile app
🙏Pole sana dada wa watu..
Waonaje ukinikabidhi moyo wako nikuenzi kwa mapenzi yasiyo ulaghai..?
Unaniuzi unavyokazia😂😂Hakika ndugu yangu.
njoo chukua tu😅Waonaje ukinikabidhi moyo wako nikuenzi kwa mapenzi yasiyo ulaghai..?
hahaha kwann kizuri kula na mwenzio me nimekuruhusu Kuna tatizo kwani🤷🙄😳
Easy like this...!!
How can it be possible..??
Kwenye Utawala Wangu Maneno Matamu Sitayasema Mimi Nitasema Makavu MakavuSikuhizi mmekuwa na viburi utafikiri mmezaliwa pluto!
Mweka mada kaandika huo ni kama ushauri kwa wale wanaotaka kuolewa asietaka si atajua mwenyewe huko!.
Mnataka kila siku mpewe maneno laini kwani ukweli hamuujui..?
Basi msilalamike hamuolewi kwa maana nafasi yenu mmeisahau!
Kama hamtaki kuolewa njooni kwangu niwape mimba maana ufalme wa mimba ni wangu😎
Mambo mengine tunayamaliza kiupendeleo tu wala hakuna kukwaruzana😉
Kweli kabisa ila kwa hili la kukubaliwa haraka mtu hasemi hata "wewe mi naogopa"😅hahaha kwann kizuri kula na mwenzio me nimekuruhusu Kuna tatizo kwani🤷
Oooohh!! Basi kwa kichambo hiki yategemee haya
-Maisha ni yangu we inakuhusu nini.
-Kuolewa si lazima
-Wanaume wa kuoa wako wapi wengi wanapenda kulelewa.
-Walio ndoani wanataka kutoka sisi tufuate nini? 😅😅
😅😅😅😂😂 kumbe last born na wewe na ujanja wote maneno meng kumbe last born haya kamuulize mama halafu uje Tena "sijakukubalia bado nakagua CV yako "Kweli kabisa ila kwa hili la kukubaliwa haraka mtu hasemi hata "wewe mi naogopa"😅
Mi ni last born ngoja narudi niende nikamwambie mama kwanza.. hivi hapa sitachinjwa kweli..😂
Mama kasema picha tafadhari..😅😅😅😂😂 kumbe last born na wewe na ujanja wote maneno meng kumbe last born haya kamuulize mama halafu uje Tena "sijakukubalia bado nakagua CV yako "
kongoro wewe😅😅😅(natania)Wasiolewe tuu hivyo hivyo ili tupate wa kuwatumia tumia na kuacha alaf turudi kwa wake zetu (natania) [emoji1][emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😅😂😅😂🙌utaikuta kule uendeMama kasema picha tafadhari..
Nasubiri..😂😅😂😅😂🙌utaikuta kule uende