Leo niwape somo nyinyi Wanawake msioolewa

Leo niwape somo nyinyi Wanawake msioolewa

Sikuhizi mmekuwa na viburi utafikiri mmezaliwa pluto!
Mweka mada kaandika huo ni kama ushauri kwa wale wanaotaka kuolewa asietaka si atajua mwenyewe huko!.

Mnataka kila siku mpewe maneno laini kwani ukweli hamuujui..?
Basi msilalamike hamuolewi kwa maana nafasi yenu mmeisahau!
Kama hamtaki kuolewa njooni kwangu niwape mimba maana ufalme wa mimba ni wangu[emoji41]
Mambo mengine tunayamaliza kiupendeleo tu wala hakuna kukwaruzana[emoji6]

Mi sijui kupika wala kufua


Sent using Jamii Forums mobile app
 
ISAYA 4:1

Wakati huo wanawake saba watamvamia mwanamume mmoja na kumwambia, “Chakula na mavazi tutajitafutia wenyewe, lakini wewe utuondolee aibu yetu, uturuhusu tuitwe kwa jina lako.”


Hivi vitabu tunaita vitakatifu, vilikuwa na maana gani kushusha thamani ya mwanamke kiasi hiki? Binafsi hili halijaingia akilini vizuri, linaonyesha ni jinsi gani mwanamke thamani yake imeshushwa.
 
ISAYA 4:1

Wakati huo wanawake saba watamvamia mwanamume mmoja na kumwambia, “Chakula na mavazi tutajitafutia wenyewe, lakini wewe utuondolee aibu yetu, uturuhusu tuitwe kwa jina lako.”


Hivi vitabu tunaita vitakatifu, vilikuwa na maana gani kushusha thamani ya mwanamke kiasi hiki? Binafsi hili halijaingia akilini vizuri, linaonyesha ni jinsi gani mwanamke thamani yake imeshushwa.
Kwasababu umetumia akili ya kiume kutathini asili ya mwanamke.

Ntakupa mfano, MUNGU akawapa ghafla wanyama uwezo na hekima ya binadamu ya kufikiri halafu akawapa mamlaka ya makubwa ya maamuzi juu ya wanadamu kama tulivyo sisi na mamlaka juu yao.... Je, unadhani hawa wananyama watatuzungumziaje..... Na jee ni vipi kwasasa mambo yalivyo, wananyama wanaplay part yao kama wanyama katika ecosystem na sisi tunaplay part yetu kama wadamu au viumbe wenye mamlaka makubwa zaidi.


Sasa ukirudi kwa wanawake na wanaume...... Unampompa mwanamke sababu ya kutaka kufikiria maisha kwa namna yake jua tutakesha hapa....na kila analofanya mwanaume litaonekana ni tatizo...... Na watacritisize kila kitu ili tu waprove kuwa wapo sahihi.

Kila mtu ameainishiwa majukumu yake kulingana na jinsia yake.... Sasa ukiona jinsia moja inapendekeza usawa batili kwa kusema jinsia nyingine imependelewa jua hapo kuna shida......



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Summary.

Huyu dada amesema wanawake mnataka ndoa huku hamjakaa kiwaifu matirio. Mnafuga kucha hata usafi wa K mnashindwa kufanya, pia amesema make up zinafanya mng'ae usoni kama duka la mhindi. Na lolote hamuwezi kumfanya ye ndo kashasema.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunafua, tunaosha vyombo, tunapika, wakiishiwa vocha tunawapa lakini hawatuwowiii
 
Habari za asubuhi wana JF, poleni na majanga yanayotusibu na naamini Mwenyenzi Mungu atatunusuru Ishallah .

Nije mojakwa moja kwenye mada inayowahusu wadada wapenda kuolewa. Wewe mwanamke kutwa unalalamika wanaume waongo kwenye mapenzi wakikutumia tu wanasepa, huna hata akili ya kufikiria kwanini kwako wagonge wasepe hawaingii ndani? Na daily unahudhuria harusi za wasichana wenzio wakiolewa? Au wao wanaolewa na majini eti? [emoji23][emoji23][emoji23]

Hii dhana kujiona watoto wa mjini, wanawake wa kisasa sijui, basi ndo mnakuwa kama kuku ya kisasa kweli hamfai kwa kufugwa shida tupu! Maana makuku ya kisasa ukitaka kuyafuga basi ujipange kweli kweli kuanzia mtaji wa kipesa hadi muda wa kuyahudumia. Ndio nyie sasa, yaani kiukweli wanawake wa sikuhizi hata radha mmeisha kabisa [emoji23]

We unataka mwanaume akuoe wakati hujawahi kujiongeza hata kusema umfulie, kazi kumsifia kapendeza hujui hata anafuliwa na nani? Hujawahi hata kumpikia kazi kumsifia ananenepa hujui hata anakula wapi, halafu unataka ndoa? kila siku ukienda gheto kwake we kazi kuulizia series za kikorea kama kaleta mpya, huulizi hata Leo unanunua mboga gani nije kukupikia.

Mwanamke mzima bila haya unaenda kwa mwanaume wako unafika na kuanza kulia njaa halafu unamuagiza kabisa akakununulie chips kuku,kwa mazingira haya anawezaje kuanza kufikilia kuuliza posa kwenu? Kazi mnayoijua ni kuomba omba hela tu utazani watoza ushuru wa manispaa.

Mkifulia Ndo mnajifanya kusema "Bby nimekumiss nataka nije leo" pumbavu zenu kumbe pesa ndo inayokupeleka, mkishafumuliwa fasta mnaomba nauli na hela ya kula hata kukumbuka kutoa shuka utandike nyingine huna mda huo, tunawajua sana ila tunawatazama tu mnajiona wajaanja kumbe mnajishusha wenyewe, haya mambo mnayaona ya kipuuzi lakini ndo uchawi kwa mwanaume ajue thamani yako, asifikirie kukupoteza hata siku moja.

Sasa nyie endeleeni tu kufuata hela, mnaenda kwa wanaume mmejikoki sadolin za rangi mdomoni, machoni mpaka mtu anashindwa kukukiss! Umefuga makucha utazani visu vya kukeketea?? [emoji3][emoji3] sijui hata mnasafishaje maumbile yenu, unakuta unang'aa usoni utazani duka la wahindi lakini ndani unatoa uvundo [emoji23][emoji23][emoji23] aisee mtalalamika Sana nawaambia, wanaume Ndo sisi mnaotuletea nyodo Ndo tunapaswa kuwaoa, tutawanyoosha mpaka mjute kuzaliwa!

Pendeni hela tuwazeeshe. Na mtapata tabu sana.
Inasemekana kuna slay queen amekula nauli yako

kush na Wisdom
 
Hapo inakuwa hamna tofauti ya kuuguza mgonjwa na kudate lastborn hawa ndo wale wakipiga mbili wanalia namtaka mamaa[emoji28][emoji122]
Tutake rashi ma last born

Shenziiii

kush na Wisdom
 
kwa vituko vyenu lastborn siwezi[emoji135] na wewe Ni lastborn usije ukaanza vya namtaka mamaa[emoji26] sjui nitakupa Nini (Natania)
Nakuapia ukitia nanga kwenye himaya yangu. Lazima ujiulize ulichelewa wapi siku zote kuja kupata pumziko la moyo wako kwenye ufalme wangu usio na mawaa

kush na Wisdom
 
Nakuapia ukitia nanga kwenye himaya yangu. Lazima ujiulize ulichelewa wapi siku zote kuja kupata pumziko la moyo wako kwenye ufalme wangu usio na mawaa

kush na Wisdom
🤣🤣🤣😅😅Aisee
 
Nakuapia ukitia nanga kwenye himaya yangu. Lazima ujiulize ulichelewa wapi siku zote kuja kupata pumziko la moyo wako kwenye ufalme wangu usio na mawaa

kush na Wisdom
Pumziko la moyo kwa Diaspora USA
😅😅😅🙆
 
Back
Top Bottom