Leo niwape somo nyinyi Wanawake msioolewa

Leo niwape somo nyinyi Wanawake msioolewa

Shida ya nini mkuu,binafsi nadhani Mke mwema anatoka kwa muumba pekee,ukitaka kuoa muombe mungu usitumie hisia kuchagua utajuta mpaka kifo,pia vile ulivyo wewe na Tabia zako,kama ni mzinzi,mshirikina,n.k utapata aina zako,ukiwa kinyume na hapo pia utapata hivyo hivyo,

Hivyo ukitaka kizuri nawewe kuwa mzuri tusitupie lawama upande wowote!!!

F@nn¥[emoji769]
 
Oooohh!! Basi kwa kichambo hiki yategemee haya
-Maisha ni yangu we inakuhusu nini.
-Kuolewa si lazima
-Wanaume wa kuoa wako wapi wengi wanapenda kulelewa.
-Walio ndoani wanataka kutoka sisi tufuate nini? 😅😅
Na wengi wao huishia kuwa ma-single mother!
katika pitapita zangu kidogo niligundua single mother wengi wanavitabia vinavyo fanana fanana ambavyo ni ngumu mwanaume kuvivumilia!
 
[emoji848]
MEME2020-05-14-11-39-11.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimefundishwa kwetu.
Hakuna kazi nisiyoijua... I'll never be a wife to a boyfriend.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana,wanaume hatuendi hivyo. Ni kama biashara siji kwenye frem yako bla kunshawishi kununua bidhaa yko. Lazima nione kwanza ubora wa bidhaa ndo niinunue na kuipeleka nyumban. Umefundishwa kwenu ndio but huko hawafundish kumhandle mwanaume na kwenda nae sawa.

Hayo mafunzo kuna watu maalum wa kufundisha.
Wewe Kama huendi hivyo kuna wenzio wenye misingi ya kimungu wanaenda hivyo..si lazima wote mfanane.

BTW ,ndoa sio ufalme wa mbinguni Hadi tuinyenyekee kiasi Cha kumtenda Mungu dhambi.

Ndoa haimnufaishi mwanamke pekee.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...
Nimefundishwa kwetu.
Hakuna kazi nisiyoijua... I'll never be a wife to a boyfriend.

Sent using Jamii Forums mobile app
Write your reply...Zile huduma mnazodai kuhudumiwa kabla ya ndoa za kumbebesha mwanaume majukumu na sisi tuseme.. I 'll never be a husband to a girlfriend, je kaka zako wamefundishwa hilo
 
Oooohh!! Basi kwa kichambo hiki yategemee haya
-Maisha ni yangu we inakuhusu nini.
-Kuolewa si lazima
-Wanaume wa kuoa wako wapi wengi wanapenda kulelewa.
-Walio ndoani wanataka kutoka sisi tufuate nini? 😅😅
Hii comment ni ya mwanamke ambaye umri wa kuolewa ushampita.
 
Write your reply...
Write your reply...Zile huduma mnazodai kuhudumiwa kabla ya ndoa za kumbebesha mwanaume majukumu na sisi tuseme.. I 'll never be a husband to a girlfriend, je kaka zako wamefundishwa hilo
Hizo huduma Kama mnatoa Basi toeni kwa kujitakia na kwa upendo wenu,kabla ya ndoa wajibu wa kutuhudumia ni wazazi.
 
Hizo huduma Kama mnatoa Basi toeni kwa kujitakia na kwa upendo wenu,kabla ya ndoa wajibu wa kutuhudumia ni wazazi.

Good, umeshauri vizuri kumbe si lazima kumhudumia gf ingefaa hata kumfulia au kumpikia bf wako basi ifanyike kwa kujitakia na kwa upendo, na tuhitimishe hivyo.
 
Back
Top Bottom