Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,576
- 235,418
NdiyoGood, umeshauri vizuri kumbe si lazima kumhudumia gf ingefaa hata kumfulia au kumpikia bf wako basi ifanyike kwa kujitakia na kwa upendo, na tuhitimishe hivyo.
Watu kama wanafanya basi wafanye kwa kujitakia lakini hiyo si tiketi ya ndoa.