Leo niwape somo nyinyi Wanawake msioolewa

Kwani wewe tayari umeolewa?!
Habari za asubuhi wana JF, poleni na majanga yanayotusibu na naamini Mwenyenzi Mungu atatunusuru Ishallah .

Nije mojakwa moja kwenye mada inayowahusu wadada wapenda kuolewa. Wewe mwanamke kutwa unalalamika wanaume waongo kwenye mapenzi wakikutumia tu wanasepa, huna hata akili ya kufikiria kwanini kwako wagonge wasepe hawaingii ndani? Na daily unahudhuria harusi za wasichana wenzio wakiolewa? Au wao wanaolewa na majini eti? [emoji23][emoji23][emoji23]

Hii dhana kujiona watoto wa mjini, wanawake wa kisasa sijui, basi ndo mnakuwa kama kuku ya kisasa kweli hamfai kwa kufugwa shida tupu! Maana makuku ya kisasa ukitaka kuyafuga basi ujipange kweli kweli kuanzia mtaji wa kipesa hadi muda wa kuyahudumia. Ndio nyie sasa, yaani kiukweli wanawake wa sikuhizi hata radha mmeisha kabisa [emoji23]

We unataka mwanaume akuoe wakati hujawahi kujiongeza hata kusema umfulie, kazi kumsifia kapendeza hujui hata anafuliwa na nani? Hujawahi hata kumpikia kazi kumsifia ananenepa hujui hata anakula wapi, halafu unataka ndoa? kila siku ukienda gheto kwake we kazi kuulizia series za kikorea kama kaleta mpya, huulizi hata Leo unanunua mboga gani nije kukupikia.

Mwanamke mzima bila haya unaenda kwa mwanaume wako unafika na kuanza kulia njaa halafu unamuagiza kabisa akakununulie chips kuku,kwa mazingira haya anawezaje kuanza kufikilia kuuliza posa kwenu? Kazi mnayoijua ni kuomba omba hela tu utazani watoza ushuru wa manispaa.

Mkifulia Ndo mnajifanya kusema "Bby nimekumiss nataka nije leo" pumbavu zenu kumbe pesa ndo inayokupeleka, mkishafumuliwa fasta mnaomba nauli na hela ya kula hata kukumbuka kutoa shuka utandike nyingine huna mda huo, tunawajua sana ila tunawatazama tu mnajiona wajaanja kumbe mnajishusha wenyewe, haya mambo mnayaona ya kipuuzi lakini ndo uchawi kwa mwanaume ajue thamani yako, asifikirie kukupoteza hata siku moja.

Sasa nyie endeleeni tu kufuata hela, mnaenda kwa wanaume mmejikoki sadolin za rangi mdomoni, machoni mpaka mtu anashindwa kukukiss! Umefuga makucha utazani visu vya kukeketea?? [emoji3][emoji3] sijui hata mnasafishaje maumbile yenu, unakuta unang'aa usoni utazani duka la wahindi lakini ndani unatoa uvundo [emoji23][emoji23][emoji23] aisee mtalalamika Sana nawaambia, wanaume Ndo sisi mnaotuletea nyodo Ndo tunapaswa kuwaoa, tutawanyoosha mpaka mjute kuzaliwa!

Pendeni hela tuwazeeshe. Na mtapata tabu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi huwa ninasema kila siku, msingi unaanzia chini kwa watoto wakiwa wadogo, bahati mbaya sana watu wengi sana especially watz ni wazuri wa kuhukumu effects za mtu wakati akiwa mkubwa na mtu huyo huyo alipo kuwa mdogo alikuwa anaangaliwa tu,
 
Dah.... Umemaliza kila kitu. Mimi sio mwanamke ila nimepigia picha ni mwanamke maneno yameniingia kisawa sawa.....

Duuh si mchezo, ila huu ndio ukweli mchungu watoto wa kike ukisasa unawaharibia vitu vingi, na hawaelewi. Kwasasa inakuwa kwao ni kawaida ila umri ukishaanza kwenda ndipo waanza kuhaha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikwambie tu mwanamke habadilishwi kwa kichambo namna hii cha zaidi utamuongezea shida ingine ya kujitetea kwa kurudisha maneno makali kwako.

Tumia kauli laini naamaini utaeleweka tu.
Ni kuendekeza tu, ukweli haunaga lugha laini. Kama nyie mnavyotuambiaga TATIZO HUNA HELA, TAFUTA HELA, sijui hapo ulaini upo wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mdau hii wiki alisema usikubali mwanamke akupe stress, akaendelea kusema, Mwanamke ni chombo cha starehe.

Nakusihi ungana na huu mtazamo, usitafute stress zisizo na maana.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ishhhh Kwaiy bora ukae uisolewe ?
Wake wadgo ndio wanaopendwa ujue
Wew chezea bahat tu, utaitafuta [emoji38] Au nimuacha huyu nini nikuchukue Wewe next woman ? [emoji14][emoji13]

Sent using Jamii Forums mobile app
😊😊 Et bahati komaa nae jamani mmoja wa afya anakutosha mke wa pili Nehii 🙌 hamjaisha bado
 
Habari za asubuhi wana JF, poleni na majanga yanayotusibu na naamini Mwenyenzi Mungu atatunusuru Ishallah .

Nije mojakwa moja kwenye mada inayowahusu wadada wapenda kuolewa. Wewe mwanamke kutwa unalalamika wanaume waongo kwenye mapenzi wakikutumia tu wanasepa, huna hata akili ya kufikiria kwanini kwako wagonge wasepe hawaingii ndani? Na daily unahudhuria harusi za wasichana wenzio wakiolewa? Au wao wanaolewa na majini eti? [emoji23][emoji23][emoji23]

Hii dhana kujiona watoto wa mjini, wanawake wa kisasa sijui, basi ndo mnakuwa kama kuku ya kisasa kweli hamfai kwa kufugwa shida tupu! Maana makuku ya kisasa ukitaka kuyafuga basi ujipange kweli kweli kuanzia mtaji wa kipesa hadi muda wa kuyahudumia. Ndio nyie sasa, yaani kiukweli wanawake wa sikuhizi hata radha mmeisha kabisa [emoji23]

We unataka mwanaume akuoe wakati hujawahi kujiongeza hata kusema umfulie, kazi kumsifia kapendeza hujui hata anafuliwa na nani? Hujawahi hata kumpikia kazi kumsifia ananenepa hujui hata anakula wapi, halafu unataka ndoa? kila siku ukienda gheto kwake we kazi kuulizia series za kikorea kama kaleta mpya, huulizi hata Leo unanunua mboga gani nije kukupikia.

Mwanamke mzima bila haya unaenda kwa mwanaume wako unafika na kuanza kulia njaa halafu unamuagiza kabisa akakununulie chips kuku,kwa mazingira haya anawezaje kuanza kufikilia kuuliza posa kwenu? Kazi mnayoijua ni kuomba omba hela tu utazani watoza ushuru wa manispaa.

Mkifulia Ndo mnajifanya kusema "Bby nimekumiss nataka nije leo" pumbavu zenu kumbe pesa ndo inayokupeleka, mkishafumuliwa fasta mnaomba nauli na hela ya kula hata kukumbuka kutoa shuka utandike nyingine huna mda huo, tunawajua sana ila tunawatazama tu mnajiona wajaanja kumbe mnajishusha wenyewe, haya mambo mnayaona ya kipuuzi lakini ndo uchawi kwa mwanaume ajue thamani yako, asifikirie kukupoteza hata siku moja.

Sasa nyie endeleeni tu kufuata hela, mnaenda kwa wanaume mmejikoki sadolin za rangi mdomoni, machoni mpaka mtu anashindwa kukukiss! Umefuga makucha utazani visu vya kukeketea?? [emoji3][emoji3] sijui hata mnasafishaje maumbile yenu, unakuta unang'aa usoni utazani duka la wahindi lakini ndani unatoa uvundo [emoji23][emoji23][emoji23] aisee mtalalamika Sana nawaambia, wanaume Ndo sisi mnaotuletea nyodo Ndo tunapaswa kuwaoa, tutawanyoosha mpaka mjute kuzaliwa!

Pendeni hela tuwazeeshe. Na mtapata tabu sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mtoa uzi povuu kama lote

Chapisho hili nililiona miaka kama minne iliyopita.
 
Kuolewa ni bahati kuna wengine hawafanyi chochote na wameolewa wametulia ndani ya ndoa zao.
 
Tegemea upinzani[emoji86]

Back
Top Bottom