Leo ningependa kuzungumzia urembo kwa WANAWAKE.....!

Leo ningependa kuzungumzia urembo kwa WANAWAKE.....!

shutterstock_17943757.jpg


mazoezi ni muhimu kwa mwanadamu kwa ajili ya kuuweka mwili katika hali nzuri kiafya, lakini wengi wetu tumekuwa wavivu sana kufanya mazoezi hata ya kutembea. Kwa upande wa wanawake wa hapa nchini hili ni tatizo kubwa. Wanawake wengi hapa nchini ni wavivu katika kufanya mazoezi na ndio sababu wengi wana vitambi na hivyo watu wengi kudhani kwamba wana ujauzito.

Urembo kwa mwanamke unajumuishwa na muonekanao wa mwili kama umekaa katika shepu nzuri. Sura siyo hoja sana, bali maumbile. kuna baadhi ya wanawake wamejaaliwa kuwa na sura na maumbo mazuri lakini baada ya kufakamia bia na nyama choma hususan kiti moto huumuka na kuwa na maumbo makubwa na mabaya yasiyo na mvuto.

Mazoezi hayahitaji gharama, maana wengi hapa watakuja kulalamika kwamba hawana fedha za kwenda Gym. Kwa wale walioko Dar na wanaofanya kazi maeneo ya mjini nawaalika waje wajiunge na Club yetu ya mazoezi ya kutembea jioni kuanzia Jengo la Exim Tower kuzunguka Gymkhana Club kupitia ufukwe wa bahari ya Hindi hadi Palm Beach kisha tuna pita barabara ya Umoja wa Mataifa mpaka Diamond Jubilee kisha tunatokea mahakama ya Kisutu na tunamalizia pale Exim Tower kila siku za kazi kasoro siku za Jumamosi na Jumapili. Hakuna Kiingilio na parking ipo. kwa anayetaka anaweza kuwasiliana na mimi kwa PM........

Hii nimeipenda kuliko zote, naomba tu kujua mnaanza saa ngapi na kumaliza saa ngapi? Hapo Exim towers mnakutana saa ngapi? very interested to join the team seriously.
 
umeona eeeh kuna watu wakibaki natural wanakuwa na mvuto hatariiiiii wanamshinda hata aliyeweka madude kibao,nimempenda bureeeeeee swali la nyongeza Heaven on earth huyu sista kaolewa au bado yupo yupo kwanza maana Mentor na Baba V wanatafuta wife teh teh

hahaaa Mentor si anasema he is single but not ready to mingle.......

Dada yuko booked lakin........yuko natural rangi ile ile na she looks stunning......
 
Last edited by a moderator:
Hii nimeipenda kuliko zote, naomba tu kujua mnaanza saa ngapi na kumaliza saa ngapi? Hapo Exim towers mnakutana saa ngapi? very interested to join the team seriously.
Karibu sana bibiye, Nitaku PM kukupa muongozo...........

Kuna timu ya watu 11, wadada 6 na wanaume tuko 5
 
mazoezi yanasaidia sana mwili kwa ujumla na ngozi!!!

hata matumizi ya lotion na yale maji ya kuchanganyia yanapungua!
 
Back
Top Bottom