Leo ningependa kuzungumzia urembo kwa WANAWAKE.....!

extremly_short_african_american_women_hairstyle_001.jpg

Mtambuzi,
Yaani mwanamke akiwa na style hii ya nywele au dread locks[halisi] mimi huwa hoooooi!!!!!.........lol!!!!!!
 
Karibu sana bibiye, Nitaku PM kukupa muongozo...........

Kuna timu ya watu 11, wadada 6 na wanaume tuko 5

Hongera sana kaka mkubwa...kuna wakati huwa nawaona mkiwa kwenye matembezi ya hisani.

Ila waambie wadada basi wawe wanatupiamo vinguo vyenye staha, wanatuumiza sisi wengine wenye mfadhaiko.

Maana ule mwendo wa kuwahi kigiza kisiwakute, basi huachia mirindimo ya hatari hatari...
 
hahahahaha nguo dha madhoedhi hadhina staha itabidi ufumbe macho tukipita teh teh teh au ujiunge chamani uzoee kama alivyojizoelea Mtambuzi
 
Last edited by a moderator:

Mmmh sikutanii...huwa nawaona wakipita hapa Agha Khan Hospital...hatari tupu

Sasa usiombe mdada mmojawapo awe anainama kuokota kichupa cha maji kilichoanguka...luuuh!!!

Kumbuka vile vitaiti vinakuwa vimeshalowa jasho hapo...hatari sana mtu wangu
 
Mtambuzi huu uzi wako umesababisha nipate swali ambayo nahisi utalijibu,
ktk picha zote ulizotumia kuupamba uzi wako umewatumia wanawake wembamba it means mabonge wenyewe hawajipambi au hawapo wenye mvuto wa kupamba uzi wako?
 
Last edited by a moderator:
Mmmh sikutanii...huwa nawaona wakipita hapa Agha Khan Hospital...hatari tupu

Sasa usiombe mdada mmojawapo awe anainama kuokota kichupa cha maji kilichoanguka...luuuh!!!

Kumbuka vile vitaiti vinakuwa vimeshalowa jasho hapo...hatari sana mtu wangu

itanibidi na mie nianze kuvaa kisketi kama cha Selena Williams nije nikutege teh teh teh pole sana
 
namuona kwenye movie best ila mashavu yake huwa yananikata steam kabisa ndo maana nikakwambia nzi kafia kwenye kidonda tehteh am sorry

Hahah no need to be sorry besti, si unajua sisi tupo Umatumbini huku tunakula kwa macho tu...

Tukiwakosa hao basi tunawatafuta wafananao na viwango hivyo huku huku kwetu kina Fatuma Ndalandefu...

Ukimpiga sopusopu kama hii ya Mtambuzi hapa, ukamuanika juani kidogo...aaah Mungu si mzee Mkumba mtoto anakwiva viwango kama hivyo...
 
its good
 
kwani nyusi ni lazima zitindwe ndo zimpendezeshe mtu?babu weeeee vitana vipo kwa ajili ya kuzichana zilete mvuto kwa akina sie tusiohitaji gharama,,,,,,,,,sikusapoti kwenye nyusi na kope,hayo mengine big like

kumbe tupo wengi, nilifikiri niko peke yangu nisie penda kutinda nyusi na kuweka kope bandia, nimwendo wa ki gel kwa mbaali then unachana na kitana halafu unazi shape.... Mbona zinapendeza tu!
 
best kuna watu wana mahangaiko ya dunia mmmh acha tuwapishe
 
Back
Top Bottom