Leo nimetoka hospitali.

Sioni sababu ya kuchekelea ujinga

Ungeendelea kuumwa na huku ukisubiri na BAN juu ili wakupeleke India!!! Vipi kwani wewe huna kibandiko cha MALARIA Mlangoni kwako? Si ndio kampeni za Magamba eti uweke sticker mlangoni ili usiugue malaria! Akili au matope? Ungeumwa hadi ukaongezewa damu ningefurahi sana ila pole Mpwa! Dada yako FF ban imeondolewa naona anatoka povu na thread ya MMKJ
 
Unaona madhala ya vyandaru vya bule?JK alileta vyandarua vyenye matundu makubwa kama ya nyavu za kuvulia samaki,nakushauli ukawape wavuvi alafu ukanunue chenye kiwango,pole sana.
 
Unaona madhala ya vyandaru vya bule?JK alileta vyandarua vyenye matundu makubwa kama ya nyavu za kuvulia samaki,nakushauli ukawape wavuvi alafu ukanunue chenye kiwango,pole sana.

Point taken for further reference! ataisoma hata kimoyomoyo tu
 
Ni kweli mpo lakini mna akili timamu? Hilo ndiyo swali.

Akili timamu zipo pia na ndo maana natumia jina langu halisi ila nina wasiwasi na akili zako kama ni kamili! Haya naelekea ibadani ntakuombea Mpwa upone tuendelee kufurahi pamoja na kuumia pamoja magamba yatakavyotoana jasho wiki hii! Pole kaka
 
Nadhani mlikuwa mnasikitika sana baada ya kunikosa jamvini juzi na jana. Nilishikwa na Malaria kali iliyonilazimisha kulazwa kwa masaa 48 na kutundikiwa dripu 3 za kwinini. Namshukuru Mungu nimeruhusiwa baada ya kupata nafuu.
Ugua pole mkuu, Mungu akusaidie upone na kurejea kwenye afya yako ili uendelee na majukumu yako
 
Nashukuru ulıumwa,nılıchokuwa nakuombea usıfe tu!
Mkeo alınıforwardıa password yako nıkawa napost threads za mlengo wa Kı-chadema anadaı amechoshwa na wewe kutumıkıa magamba.
Tulıpeana apoıntment kukutana nae leo palepale pa sıku zote!
We endelea kukesha ukıtumıkıa magamba tu mm ntakusaıdıa kumpunguzıa stress ur wıfe!
Mwigulu Mchemba at work...
 
Back
Top Bottom