Leo nimetoka hospitali.

Leo nimetoka hospitali.

Mnaochangia topic za Mwita na nyie mnakuwa kama vile hamna akili
 
Mbona jina lako halifanani na kauli zako ndugu? Nalog off
Na wewe kila wakati unasema "Nalog off" wakati unaendelea kuchangia; haya mambo ya kuiga yatawaponza. Ukiiga kunya kwa tembo utapasuka cameroon yako.
 
Nimemuiga nani? Ila kwasababu una jina la kizulu sikushangai kumfurahia Cameron,maana RSA nyie mlishakubali kuuoana toka 2007,kwahiyo mpaka sasa Cameron yako ishachoka,ndio maana unazungumza lolote. Nalog off
 
Na wewe kila wakati unasema "Nalog off" wakati unaendelea kuchangia; haya mambo ya kuiga yatawaponza. Ukiiga kunya kwa tembo utapasuka cameroon yako.

afadhali umeliambia milinanikera kila kitu nalog off wakati bado linaendelea kuchangia.
 
Nimemuiga nani? ... Nalog off
Unaiga kwa watu ambao actually wanalog off, sasa tofauti ni kwamba wewe unaendelea kuwamo humu. Ni sawa na stori ya jamaa aliyekuwa anaangalizia majibu ya mtihani kwenye karatasi ya mwenzake, sasa mwenzake kafika mwisho wa karatasi akaandika PTO (Please Turn Over), na jamaa muigiliziaji yeye majibu yake yapo katikati ya ya answer sheet, ila kwa kuwa hajui anachoiga, naye akaandika PTO !!
 
Naona thread imeshaingiliwa na vikwekwerekwe.
 
Sasa unajuaje kama huyo jamaa aliyekuwa akigezea ndio mimi? In short mie sijamuiga mtu mkuu ni Trade Mark yangu kwahiyo sidhani kama itaendelea kukuumiza. Stahamili japo unaumia. Nalog off
 
Sasa chandarua ya mgao hukupata? Uwe unalala kwenye harrier yako nyeusi,ngurumisha usiku kucha kama ina kipupwe. Pole sana mkuu

chandarua ya mgao si hadi mkewe awe mja mzito? Au siku hizi wamebadili utaratibu?
 
Sasa unajuaje kama huyo jamaa aliyekuwa akigezea ndio mimi? In short mie sijamuiga mtu mkuu ni Trade Mark yangu kwahiyo sidhani kama itaendelea kukuumiza. Stahamili japo unaumia. Nalog off

Hii trade mark yako ya 'nalog off' inaelekea inawanyima watu usingizi sana. Umeifunika ile ya figganigga ya 'mia'
 
Naona thread imeshaingiliwa na vikwekwerekwe.
Hahaha pole kwa kuugua,ila we si uko kitandani! sie tuko huku barazani tunaendelea kupiga stori,akitoka huyo aliyekuwepo ndani ataingia mtu mwengine kuja kukutambua hali. Nalog off
 
Hii trade mark yako ya 'nalog off' inaelekea inawanyima watu usingizi sana. Umeifunika ile ya figganigga ya 'mia'
Umeona eh! Yaani inauza ile kinoma,haipiti siku bila kununuliwa. Nalog off
 
Back
Top Bottom