Leo nimetoka hospitali.

Leo nimetoka hospitali.

Pole mkuu. Mungu ashukuriwe kwa kurejeshea afya yako kama mwanzo.
 
Uwwwwwiiiiiiii hiiii kali nimecheka peke yangu kitandani!!!

Mama yangu mwanamke! Hata mimi nimeangusha kicheko mpaka hii toto dogo dogo wakataka kujua ni nini kimenisibu hapa kitandani. Ndiyo nikawaambia ni mambo ya Jamiiforums hayo. Pole sana Best Mwita25!
 
pole sana, zingatia lishe na matunda upate afya mapema
 
Nilimpa 'password' waifu ili aendelee kukipa joto kiti changu, lakini si mimi niliyetuma hiyo/hizo post za jana.

Nashukuru ulıumwa,nılıchokuwa nakuombea usıfe tu!
Mkeo alınıforwardıa password yako nıkawa napost threads za mlengo wa Kı-chadema anadaı amechoshwa na wewe kutumıkıa magamba.
Tulıpeana apoıntment kukutana nae leo palepale pa sıku zote!
We endelea kukesha ukıtumıkıa magamba tu mm ntakusaıdıa kumpunguzıa stress ur wıfe!
 
Unaogopa kutumia chandarua cha magamba ,nguvu za kiume zitapungua!
 
Nashukuru ulıumwa,nılıchokuwa nakuombea usıfe tu!
Mkeo alınıforwardıa password yako nıkawa napost threads za mlengo wa Kı-chadema anadaı amechoshwa na wewe kutumıkıa magamba.
Tulıpeana apoıntment kukutana nae leo palepale pa sıku zote!
We endelea kukesha ukıtumıkıa magamba tu mm ntakusaıdıa kumpunguzıa stress ur wıfe!

Jamani hebu twendeni taratibu kidogo, kweli mlitamani aendelee kuumwa? hii kali
 
Mama yangu mwanamke! Hata mimi nimeangusha kicheko mpaka hii toto dogo dogo wakataka kujua ni nini kimenisibu hapa kitandani. Ndiyo nikawaambia ni mambo ya Jamiiforums hayo. Pole sana Best Mwita25!

Hivi kuna binadamu mwenye akili timamu anayecheka mwenzake akiugua?
 
Maskini!mbn pipo mna roho ngumu hapa ndani?pole mwaya.
 
Hivi kuna binadamu mwenye akili timamu anayecheka mwenzake akiugua?

inategemea..mfano alivyouwawa Gadaffi, kuna waliolia na kuna walio shangilia...ndivyo itakavyo tokea kwa kikwetee..
 
Nadhani mlikuwa mnasikitika sana baada ya kunikosa jamvini juzi na jana. Nilishikwa na Malaria kali iliyonilazimisha kulazwa kwa masaa 48 na kutundikiwa dripu 3 za kwinini. Namshukuru Mungu nimeruhusiwa baada ya kupata nafuu.

Pole najua sakata la Jairo liliamsha malaria yako.
 
Pole Mwita25 vipi utaenda Dodoma kwenye mkutano wenu? au bado hujawa stable?
 
Back
Top Bottom