Asante shoka.
nazani bado una malaria nne wewe.
Asante shoka.
nazani bado una malaria nne wewe.
Umeona eeeh, mi alikua ananiuliza eti kama nina akili timamu! Kweli? Mimi au yeye ona hapo juu eti anaskia raha watu wanavyo comment hadi anasema kathread kanapaa eeeh!!! Kumbe anaanzisha thread ili tuchangie ndio raha yake tu
Nadhani mlikuwa mnasikitika sana baada ya kunikosa jamvini juzi na jana. Nilishikwa na Malaria kali iliyonilazimisha kulazwa kwa masaa 48 na kutundikiwa dripu 3 za kwinini. Namshukuru Mungu nimeruhusiwa baada ya kupata nafuu.
Mimi nafarijika kuona kuwa watu wanaonesha sympathy kwa kuugua kwangu lakini siwezi kuwa kama wewe unayechekelea watu kuugua na kufa. Sioni tofauti yako na mwanamama gaidi FaizaFoxy aliyechekelea kifo cha mwanafunzi aliyegongwa.

Acha kunichonganisha na Mods wataka nile BAN ufurahi? Nimekupa pole kibao tangu asubuhi hujaitikia hata moja sasa wataka nikubebe? Uwe na huruma na wenzio pia tunaopoteza muda kubishana na wewe, nikasema naenda ibadani ntakuombea bado hutaki! Kha!!
Nadhani mlikuwa mnasikitika sana baada ya kunikosa jamvini juzi na jana. Nilishikwa na Malaria kali iliyonilazimisha kulazwa kwa masaa 48 na kutundikiwa dripu 3 za kwinini. Namshukuru Mungu nimeruhusiwa baada ya kupata nafuu.
faiza mambo vp,pole kwa ban nduguPole sana, fanya haraka uende India, mwenzako Zitto ni malaria tu imempeleka huko. Mbona jana ulikuwepo? ndiyo maana post yako ilikaa ki malaria sugu. LOL.
mwanzoni i thought Mwita25, Rejao, Mzee na Faiza Foxy, ni familia moja
Rais mjanjamjanja sana yule.
Kwa kitendo chako cha kucheka wagonjwa, ban inakuhusu kwa sana tu leo.
Dogo pole sana. ulikuwa na malaria 150 nini na wewe!!.Nadhani mlikuwa mnasikitika sana baada ya kunikosa jamvini juzi na jana. Nilishikwa na Malaria kali iliyonilazimisha kulazwa kwa masaa 48 na kutundikiwa dripu 3 za kwinini. Namshukuru Mungu nimeruhusiwa baada ya kupata nafuu.