Leo nimepiga mwanamke

Leo nimepiga mwanamke

Msamehe muendelee kuwalea Wajomba zangu, hizo ni changamoto za shetani tu ila pia you must play your part as a man.
 
Sifa ya kwanza ya kuwa mume bora ni jinsi unvyo control hasira zako .

We imagine haya maisha boss ana kuudhi bila sababu halafu anakutimua kazi.
Mtu kalewa halafu anaendesha gari na kumgonga mama mjamzito/ mtoto au mtu asie na hatia .
Mzazi anatekeleza watoto wake . Watoto wana gangaama na maisha na kujitoa baadaye huyo mzazi anarudi watoto wangu ooohhh nisaidieni.
Watu wanaoana wako safi miezi kadha mmoja anajikuta na NGOMA na kumuambukiza
Mweza wake . Etc

Sasa hembu we fikiri kila mtu angekuwa na hasira za kipimbavu kama hizo zako dunia ingekuwaje Leo hii ??

Napenda kukusisitiza kumpiga mwanamke ni BIG NO. Kama we kweli ni mwanaume hasa piga ukuta.
Nafikiri haujasoma vizuri post mkuu...amekuja saa 5 bila sababu ya msingi..anaulizwa analeta nyodo...jamaa kaenda kulala akamfuata na kumletea madharau plus matusi....mimi ningeua kabisa.
 
Usiseme anastahili kipondo... jiulize kwann anachepuka wakati hakua Na tabia hiyoo?? Inaonekana ameanza mda si mrefu. Labda mwanaume ndo tatizo. there must be a very big reason behind
Hivi watu wa aina yenu wapo kweli..?!..huwa..napata taabu sana eti umuulize kwanini anachepuka_how..?...akikuambia haunifanyivizuri utafanyeje...?...wanaume wa aina yenu ndio mnasababisha hawa watu watudharau.
 
....hahahahahaha..huo sio upole,ni ufala!
...alitakiwa ajieleze kabla ya kumuuliza..
...asingeendeleza ngebe we ungemfulia hadi ch.upi yake alovaa huko alikotoka,blalfuu!
 
Kupiga hakusaidii mkuu. Kumbuka pia siku hizi kuna DAWATI LA JINSIA kila kituo cha Polisi. Unaweza kulishughulikia jambo hili kwa namna nyingine pia kama kumwacha moja kwa moja. Kumpiga utaishia gerezani na yeye ataendelea kufurahia maisha yake.
 
Kama mwanamke hakuheshimu kiasi hicho I think ni vizuri ukaanza kwa kujiangalia kwanza, umekosea wapi? Umemlea vipi hadi mmefika hapo. Kama ni tabia yake tu kawaida then aliyekosea kwanza kabisa ni wewe, ulioaje mwanamke usiyemjua vizuri tabia? hapo ni talaka tu hamna kingine, hakuna kitu sipendi kama kupigana tena kibaya zaidi mwanamke.

Najua umekuja angalau tukupe moyo kua ulichokifanya ni sahihi lakini tatizo la ugomvi unaweza mgusa mtu kidogo tu akafariki na wewe maisha yako ndo yakaishia hapo, kila kitu ulichofanya kukufikisha hapo ulipo kinakua hakina maana. Usinyanyue mkono kumpiga mtu, tafuta njia nyingine za kumnyoosha.
 
Wanawake uoga wao upo kwenye kupigwa siku moja moja unamtia adabu hata kwa kosa dogo...usingoje hadi afanye kosa kubwa kama hilo ndio ufanye hvyo
TAHADHARI: USIMPIGE KICHWANI ni hayo tu
 
Letting GO!

Haya ni maneno ambayo tangu niambiwe 2010 nayaheshimu sana. Niliambiwa na mentor wangu.

LET GO TO GET MORE.

Letting go doesn't mean you don't love her.

From my own experience: Wakati nilipoanza kumjibu mpenzi (sijaoa bado) wangu vibaya au kumuonesha dharau yoyote ni dhahiri sikuwa nimemweka moyoni mwangu.
Salute
 
Sasa mwanaume unaachaje kumpiga mkeo?

Haipendezi inapita mwaka mzima hujamweka mkeo hata kangeu bana.
 
Hakuna cha uchagga wala nini...jamaa ni dhaifu tu...how come mke akujie saa 5 usiku.
Huyu mleta uzi amekuja kutuonyesha jinsi alivyo yogoyogo tu.
Mwanaume hawezi kuja na maneno ya kidhaifu namna hii aiseeee
 
Jamaa yangu kanisimulia;

:=> Kwa asili mimi ni kurya lakini modern one....nimekua tangu utoto mpaka umri huu katika familia yenye upendo na amani.Pamoja na wazazi wangu wote kuwa wakurya haijawahi kutokea baba akanyanyua mkono wake kumwadhibu mama hata wakati mwingine nilipoona mama anakosea na alipaswa kuadhibiwa.

Kutoka na upendo wa baba nilijikuta na mimi nikijiwekea malengo ya kutonipiga mwanamke wangu kabisa maana baba alishaniambia kupiga sio suluhisho la matatizo.

Baada ya kuoa nimeamua kuwa na tabia kama ya baba mpole na mpenda familia yangu, nimefanya hayo ili niwe na happy family kama ya baba yangu.

Kwa siku za karibuni mke wangu amekuwa na kiburi sana jamani, ananijibu kunya na sometime anafikia kunitukana mbele za watoto na hata wageni.

Nimeshamkanya sana anahidi kubadilika lakini binti wa kichaga huyu kadri siku zinavyosonga ndo anazidi kuwa matatizo.

Kwa bahati mbaya sipendi kabisa mambo ya kusuluhishwa kwa sababu naamini mnapakuwa wamoja basi ni vizuri mkigombana mnayamaliza wenyewe na sio kila mtu ajue kwa maana hiyo sijawahi peleka shitaka kwa mtu yoyote yule.
Jana usiku amerudi sa tano usiku na kunikuta nishawapikia watoto wamekula wamelala.

Akanikuta sebuleni naangalia TV huku namsubiri nilipomuuliza kiupole kuwa ametoka wapi? Muda huo

Alinijibu vibaya sana ambavyo hata siwezi kuelezea nilijikuta nafukuta kwa hasira za ndani ila nikajicontrol na kwenda kulala.

Sasa tatizo akaja chumbani na kuendelea kunitolea lugha chafu mpaka akafikia kunitukania wazazi nilijikuta hasira imenishika sana nikampiga kofi moja mpaka akalamba ardhi.

Alipoinuka akaja ili tupambane, aiseee nilimpiga kipigo cha mbwa mwizi maana nilipokuwa nikitaka tuache kupigana yeye ndo anazidisha.Mpaka sasa kalala analia tu hata uwezo wa kuamka hana.

Kiukweli nashindwa cha kufnya maana hata akienda kushtaki sina cha kujitetea maana sijawahi ripoti mabadiliko yake kwa yoyote.

Nishaurini nifanyeje? Na bado nampenda?

Zingatia sio kwa sababu ni mkurya ndo maana nimepiga hapana hata ungekuwa wewe ungefikia nilipofikia.

Tumpe ushauri wakuu atausoma.
akizingua muongeze nakoz nyingine kwanza alikuwa wapi mpaka 5 usiku....
kwanii akupe majibu mabaya mpaka mbele za watu tena unahuruma ingetakiwa siku anakujibu kunya mbele zaa watu unamnyoosha papo hapo....

by the way umeyataka mwenyewe mwanamke anakutukanaje mbele za watoto wako na wageni ni utovu wa nidhamu .............





mkuu hapo ukitaka suluhu mkabe umpe dushe lamaana kisha mtafutie zawadi kwisha........
 
Back
Top Bottom