Sifa ya kwanza ya kuwa mume bora ni jinsi unvyo control hasira zako .
We imagine haya maisha boss ana kuudhi bila sababu halafu anakutimua kazi.
Mtu kalewa halafu anaendesha gari na kumgonga mama mjamzito/ mtoto au mtu asie na hatia .
Mzazi anatekeleza watoto wake . Watoto wana gangaama na maisha na kujitoa baadaye huyo mzazi anarudi watoto wangu ooohhh nisaidieni.
Watu wanaoana wako safi miezi kadha mmoja anajikuta na NGOMA na kumuambukiza
Mweza wake . Etc
Sasa hembu we fikiri kila mtu angekuwa na hasira za kipimbavu kama hizo zako dunia ingekuwaje Leo hii ??
Napenda kukusisitiza kumpiga mwanamke ni BIG NO. Kama we kweli ni mwanaume hasa piga ukuta.