Leo nimepiga mwanamke

Leo nimepiga mwanamke

Yan unampiga mkeo na kuja kujisifia jf wewe ni dhaifu na sio mstaarabu na ndio maana huheshimiki ningekua mimi police Ingekhusu hata mwezi mfyujuuuuj
Rudi shule naona hata uwezo wa kusoma na kuelewa unakupa shida
 
Kwa ufupi, yapo matatiz meng san kwenye ndoa, na inahitaji mbinu nyingi sana za kuyatatua. Swali kw mtoa mada, 1. Kuja sa tano ndo muda wake wa kila siku? Kam sio kurakuwa na cheni ndefu ya matatizo yao.
 
Mwanaume ni kichwa cha familia, kila tatizo linalotokea krk familia kuna namna fulan ambayo mme umelegea. Gari likipata ajari anaulizwa dreza sio kondact wala abiria, Kampuni yoyote ikipata loss, meneja anawajibishwa sio wafanyakazi. Vilevile nchi ikizubaa kimaendeleo Raisi analaumiwa. Wanaume tuamke.
 
mpe jamaa pole sana,,,, najua hasira tena za hawa wadudu kike huwa zinakuwa kali sana, ila hukustahili kumpiga,,, kwake yeye anaona yeshaisha,,,, angetoka grocery ya karibu apige roba kama mbili then kimya.....asubuhi ukiwa huna hasira, kuna mawili aidha yeye aondoke au wewe uhame......sbb huyo mwananke ana kidume... tena kidume kweli...huna mke hapo...utapiga utauwa,,, segerea chimbo lako...watoto watapata shida muraa....
 
Jamaa yangu kanisimulia;

:=> Kwa asili mimi ni kurya lakini modern one....nimekua tangu utoto mpaka umri huu katika familia yenye upendo na amani.Pamoja na wazazi wangu wote kuwa wakurya haijawahi kutokea baba akanyanyua mkono wake kumwadhibu mama hata wakati mwingine nilipoona mama anakosea na alipaswa kuadhibiwa.

Kutoka na upendo wa baba nilijikuta na mimi nikijiwekea malengo ya kutonipiga mwanamke wangu kabisa maana baba alishaniambia kupiga sio suluhisho la matatizo.

Baada ya kuoa nimeamua kuwa na tabia kama ya baba mpole na mpenda familia yangu, nimefanya hayo ili niwe na happy family kama ya baba yangu.

Kwa siku za karibuni mke wangu amekuwa na kiburi sana jamani, ananijibu kunya na sometime anafikia kunitukana mbele za watoto na hata wageni.

Nimeshamkanya sana anahidi kubadilika lakini binti wa kichaga huyu kadri siku zinavyosonga ndo anazidi kuwa matatizo.

Kwa bahati mbaya sipendi kabisa mambo ya kusuluhishwa kwa sababu naamini mnapakuwa wamoja basi ni vizuri mkigombana mnayamaliza wenyewe na sio kila mtu ajue kwa maana hiyo sijawahi peleka shitaka kwa mtu yoyote yule.
Jana usiku amerudi sa tano usiku na kunikuta nishawapikia watoto wamekula wamelala.

Akanikuta sebuleni naangalia TV huku namsubiri nilipomuuliza kiupole kuwa ametoka wapi? Muda huo

Alinijibu vibaya sana ambavyo hata siwezi kuelezea nilijikuta nafukuta kwa hasira za ndani ila nikajicontrol na kwenda kulala.

Sasa tatizo akaja chumbani na kuendelea kunitolea lugha chafu mpaka akafikia kunitukania wazazi nilijikuta hasira imenishika sana nikampiga kofi moja mpaka akalamba ardhi.

Alipoinuka akaja ili tupambane, aiseee nilimpiga kipigo cha mbwa mwizi maana nilipokuwa nikitaka tuache kupigana yeye ndo anazidisha.Mpaka sasa kalala analia tu hata uwezo wa kuamka hana.

Kiukweli nashindwa cha kufnya maana hata akienda kushtaki sina cha kujitetea maana sijawahi ripoti mabadiliko yake kwa yoyote.

Nishaurini nifanyeje? Na bado nampenda?

Zingatia sio kwa sababu ni mkurya ndo maana nimepiga hapana hata ungekuwa wewe ungefikia nilipofikia.

Tumpe ushauri wakuu atausoma.
Alianza na koffi olomide
 
Duuuuu siku hizi wakurya tumekuwa wapole hadi raha...
 
Mwanamke n kama mtoto, anahitaji kudekezwa na kueleweshwa vzr zaidi, ila sometimes viboko ni muhimu! As long as haudhuru mwili kipigo kinaruhusiwa

Hapo chakufanya zidisha upendo na mtibu kwa kumdekeza mwanzo mwisho mpaka ajihisi malaika, asipobadilika baada ya kipigo hicho basi atakuwa analake jambo
 
Amerudi nyumbani saa 5 usiku halafu anajibu kunya mmhh hapo kuna jambo la siri kubwa sana. Anza na kumchunguza nyendo zake halafu kama bado kalala muache alale mpaka akiamka ndio mzungumzee. Pia utakapo ongea nae usijishushe akakuona huwezi kumuacha na mimatusi na kurudi usiku mkubwa kama mke wa mtu.
 
Wewe fanya tu unavyojisikia, ushampiga, kakudharau, kakutukana ila wewe wajisema kwa upande wenye asali tu.
 
Mnh mtu anakuwa proud kwa kumpiga mwenza wake what a shame?
 
Baba mkeo huyo unachapiwa nje, fuatilie utaona sio kawaida hiyo.
 
Asilimia kubwa ya wanawake akipata mjuzi nje ya ndoa basi humdharau wa ndani (mume). Kifupi anachepuka
 
Sijawahi ona hapa kwenye jukwaa mwanaume wa kichaga ananyanyaswa na mwanamke wa kichaga au mwanamke wa kabila lingine. Kimsingi wanaume tofauti na wachaga ni dhaifu mno kila siku ni kuja kulalamika hapa. Kwanza mnaoa wanawake wa kichaga kwa nini? Kama mmeambiwa msioe na mababu zenu sasa mnaoa wa nini? Ukiambiwa usioe mchaga na wewe ukaoa utapigwa tuu.
 
Back
Top Bottom