exceptional lady
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 332
- 248
[emoji144]Kati yako na mkeo ni yupi anapata kipato kikubwa??..maana nimeona wewe ndio wapika..!
Katika hali ya kawaida kabisa huyo mkeo ana kajamaa kake nje ndio kanafanya hadi wewe unadharaulika..