Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,703
- 35,531
Chaindugu mdau, pole.
hata hivyo,
that's pure gonorrhea gentleman,
huna haja ya kusubiri na haukua na namna ya kukwepa hiyo kitu. Nenda hospitali moja kwa moja ukapate tiba kabla mambo hayajawa mabaya zaidi hapo mbeleni,
Na gonorrhea ya sikuizi ilivyo kali, ukiichelewesha sana kuitibu, unaweza kujikuta hadi una kunya usaha mzito wenye harufu kali mbaya![]()
