Mwigulu muogope muumba wako; Hivi unatufanya wana wa Arusha ni vipofu ? Huna uhalali wa kufanya kampeni Arusha ndo maana kampeni zako unaziendesha usiku kama mchawi. By ze way hapa siyo Iramba, Utaambulia aibu na huyo jamaa unaye mdhalilisha majukwaani kwa sababu ya njaa yake.
Nilijua tu jembe letu litaibuka kuclear uzushi ulioenezwa humu na washambenga
mwigulu unakumbuka ulivyokimbia arumeru? Hakymungu naapa aibu ile utaipata na arusha tena, hapo sio iramba, usifanye mchezo na hao watu! Umesema mwenyewe tarehe 16. Tunaomba usikimbie bila kuaga A town!Wana jf nimefanya mikutano mitatu mpaka sasa hakuna hata mkutano mmoja nimepatwa na kelele ya aina yeyote. Anayedhani kuna mkutano nimezomewa aendelee kuamini hivyohivyo, majibu yanakuja tar 16.
Umefanya mkutano au umehubiri majungu na matusi na kumdhalilisha kijana wa watu unayemtembeza majukwaani kwa maslahi yako kisiasa.
Mbona hujajibu tuhuma za kuagiza kambi ya green guard iundwe kule Mbeya na kufanya jaribio la kuteka viongozi wa CHADEMA jana?
Green guard wanaendesha mafunzo,polisi wanaona kawaida.Sasa itabidi tujilinde kwa kutumia Red Brigade!Siasa zenu za kihuni tutazikomesha

Wana jf nimefanya mikutano mitatu mpaka sasa hakuna hata mkutano mmoja nimepatwa na kelele ya aina yeyote. Anayedhani kuna mkutano nimezomewa aendelee kuamini hivyohivyo, majibu yanakuja tar 16.
hujamtendea haki mkuu, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, ni haki yake kufanya lile analoona linafaa kama kiongozi!Mwigulu Nchemba unajuwa we ni kiongozi kwenye jamii
sasa unapokuja na mabandiko hapa JF unamaanisha hauna uhakika na uongozi wako, Fanya kazi yako kama kiongozi acha kuleta uchafu wako huku kwenye mitandao
kwi kwii, haa mzee wa tuwalambe ama tusiwalambeeeeeeee!Mwigulu omba kampani ya Mh Lusinde
Wewe toka lini ukawa mwanaArusha. Muugope Muumba wako kwa kuja hapa na spinning za kiongo.Mwigulu muogope muumba wako; Hivi unatufanya wana wa Arusha ni vipofu ? Huna uhalali wa kufanya kampeni Arusha ndo maana kampeni zako unaziendesha usiku kama mchawi. By ze way hapa siyo Iramba, Utaambulia aibu na huyo jamaa unaye mdhalilisha majukwaani kwa sababu ya njaa yake.