Dr. Mwigulu Nchemba
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 416
- 2,037
Wana jf nimefanya mikutano mitatu mpaka sasa hakuna hata mkutano mmoja nimepatwa na kelele ya aina yeyote. Anayedhani kuna mkutano nimezomewa aendelee kuamini hivyohivyo, majibu yanakuja tar 16.
tulikuwepo pale umezomewa vibaya mno ondoka tu kwa aibu hapo arusha ..........arusha sio huko iramba unako wadanganya kwa chumvi........Wana jf nimefanya mikutano mitatu mpaka sasa hakuna hata mkutano mmoja nimepatwa na kelele ya aina yeyote. Anayedhani kuna mkutano nimezomewa aendelee kuamini hivyohivyo, majibu yanakuja tar 16.
Wana jf nimefanya mikutano mitatu mpaka sasa hakuna hata mkutano mmoja nimepatwa na kelele ya aina yeyote. Anayedhani kuna mkutano nimezomewa aendelee kuamini hivyohivyo, majibu yanakuja tar 16.
basi kama hujazomewa, mimi nakuzomea...HILOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
Utakuwa umazomewa kweli dogo! hebu tuambie ukweli mtoto mzuri!!!! mbona kuzomewa kitu cha kawaida tu! anazomewa hata mwenyekiti wako itakuwa wewe? sema ukweli mtoto mzuri, uwongo dhambi! utachomwa moto siku ya mwisho!!Wana jf nimefanya mikutano mitatu mpaka sasa hakuna hata mkutano mmoja nimepatwa na kelele ya aina yeyote. Anayedhani kuna mkutano nimezomewa aendelee kuamini hivyohivyo, majibu yanakuja tar 16.
Wana jf nimefanya mikutano mitatu mpaka sasa hakuna hata mkutano mmoja nimepatwa na kelele ya aina yeyote. Anayedhani kuna mkutano nimezomewa aendelee kuamini hivyohivyo, majibu yanakuja tar 16.
Tutakuaminije wakati ulishakataa kwamba hukuwasiliana na yule Edina? Tena tutakuaminije wakati kule bungeni ulijiandika jina lako wakati wa kuwatafuta wabunge wawakilishi wa vyuo vikuu hadi ukamchefua spika? Itakuwa vigumu kaka.Wana jf nimefanya mikutano mitatu mpaka sasa hakuna hata mkutano mmoja nimepatwa na kelele ya aina yeyote. Anayedhani kuna mkutano nimezomewa aendelee kuamini hivyohivyo, majibu yanakuja tar 16.