Leo nimefanya mkutano wa tatu jijini Arusha. Sijazomewa

Dr. Mwigulu Nchemba

JF-Expert Member
Feb 25, 2012
416
2,037
Wana jf nimefanya mikutano mitatu mpaka sasa hakuna hata mkutano mmoja nimepatwa na kelele ya aina yeyote. Anayedhani kuna mkutano nimezomewa aendelee kuamini hivyohivyo, majibu yanakuja tar 16.
 
Majibu uanayajua sema kiburi tu unacho bc pata ii..Ilooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo..chemba Ilooooooooooooooooooooo
 
Wana jf nimefanya mikutano mitatu mpaka sasa hakuna hata mkutano mmoja nimepatwa na kelele ya aina yeyote. Anayedhani kuna mkutano nimezomewa aendelee kuamini hivyohivyo, majibu yanakuja tar 16.
tulikuwepo pale umezomewa vibaya mno ondoka tu kwa aibu hapo arusha ..........arusha sio huko iramba unako wadanganya kwa chumvi........
 
Mwigulu muogope muumba wako; Hivi unatufanya wana wa Arusha ni vipofu ? Huna uhalali wa kufanya kampeni Arusha ndo maana kampeni zako unaziendesha usiku kama mchawi. By ze way hapa siyo Iramba, Utaambulia aibu na huyo jamaa unaye mdhalilisha majukwaani kwa sababu ya njaa yake.
 
tupe tathmini ya mikutano yako mkuu.make kuna watu hapa wanapotosha
 
Wana jf nimefanya mikutano mitatu mpaka sasa hakuna hata mkutano mmoja nimepatwa na kelele ya aina yeyote. Anayedhani kuna mkutano nimezomewa aendelee kuamini hivyohivyo, majibu yanakuja tar 16.

Mwigulu Nchemba unajuwa we ni kiongozi kwenye jamii

sasa unapokuja na mabandiko hapa JF unamaanisha hauna uhakika na uongozi wako, Fanya kazi yako kama kiongozi acha kuleta uchafu wako huku kwenye mitandao
 
Last edited by a moderator:
Umefanya mkutano au umehubiri majungu na matusi na kumdhalilisha kijana wa watu unayemtembeza majukwaani kwa maslahi yako kisiasa.

Mbona hujajibu tuhuma za kuagiza kambi ya green guard iundwe kule Mbeya na kufanya jaribio la kuteka viongozi wa CHADEMA jana?

Green guard wanaendesha mafunzo,polisi wanaona kawaida.Sasa itabidi tujilinde kwa kutumia Red Brigade!Siasa zenu za kihuni tutazikomesha
 
Endelea kujaa masifa baada ya kupewa kichwa lakini hizi sifa ni za muda tu!Watanzania tumeshajua ww siyo mtu mwema. Mwisho wa ubaya ni aibu!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Wana jf nimefanya mikutano mitatu mpaka sasa hakuna hata mkutano mmoja nimepatwa na kelele ya aina yeyote. Anayedhani kuna mkutano nimezomewa aendelee kuamini hivyohivyo, majibu yanakuja tar 16.
Utakuwa umazomewa kweli dogo! hebu tuambie ukweli mtoto mzuri!!!! mbona kuzomewa kitu cha kawaida tu! anazomewa hata mwenyekiti wako itakuwa wewe? sema ukweli mtoto mzuri, uwongo dhambi! utachomwa moto siku ya mwisho!!
 
Ungemstua kibajaji lusinde aje aongezee matusi huko ili kampeni zinoge baba. The king of gutter politics!
 
Wana jf nimefanya mikutano mitatu mpaka sasa hakuna hata mkutano mmoja nimepatwa na kelele ya aina yeyote. Anayedhani kuna mkutano nimezomewa aendelee kuamini hivyohivyo, majibu yanakuja tar 16.

Hata Arumeru ulidai watu wangoje matokeo, mwishowe ukaambulia aibu na mijitusi yako uliyoiporomosha we na nduguyo Lusinde!!

Arusha hata JIWE litashinda against CCM!!
 
Nilijua tu jembe letu litaibuka kuclear uzushi ulioenezwa humu washambenga
 
Nilijua tu jembe letu litaibuka kuclear uzushi ulioenezwa humu na washambenga
 
Wana jf nimefanya mikutano mitatu mpaka sasa hakuna hata mkutano mmoja nimepatwa na kelele ya aina yeyote. Anayedhani kuna mkutano nimezomewa aendelee kuamini hivyohivyo, majibu yanakuja tar 16.
Tutakuaminije wakati ulishakataa kwamba hukuwasiliana na yule Edina? Tena tutakuaminije wakati kule bungeni ulijiandika jina lako wakati wa kuwatafuta wabunge wawakilishi wa vyuo vikuu hadi ukamchefua spika? Itakuwa vigumu kaka.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom