Leo ni Siku ya Bwana ya Kwanza ya Majilio mvua zinanyesha kila kona ya nchi, Mungu wa mbinguni amesikia maombi!

Bagamoyo inanyesha sasa.
Sheikh ponda amesema tuondoe dhulma kwanza Sasa sijui hyo dhulma imeshaondolewa?.
"ALLAH ANASEMA NIOMBENI NITAWAJIBUNI"
na hakusema ondoeni kwanza dhulma ndo NITAWAJIBUNI.
Hata jambazi ama mzinifu huwa anamwomba Mungu na bado akapewa akiombacho.
 
Back
Top Bottom