Leo ni Siku ya Bwana ya Kwanza ya Majilio mvua zinanyesha kila kona ya nchi, Mungu wa mbinguni amesikia maombi!

Mungu you mwema Kwa taifa letu,hakika dar hali ya hewa ni njema kiasi,Maombi yana nguvu,swali niliwahi kukaa kenya wanaombeaga mvua wee lakini hainyeshi hata tone, Tanzania Maombi kidogo tu majibu tele why this?,watu wa kiimani wanisaidie Kwa hili?(land of kebra nagast)
 
Amina mkuu, ila kwanini kuomba mvua kipindi hiki wakati tunajua kabisa nimsimu wa mvua, kwanini hatuombi mwezi wa 8 ama wa 7 na wa 9.
Sambamba na kuomba ni lazima tupambane dhidi ya uharibifu wa mazingira ili nature aliyoumba Mungu iendelee kuwepo.
Mvua inajitengeneza kutukana na mazingira maalumu, yasipokuwepo ni shida.
Basi tujipe kazi ya utetezi wa mazingira na kisha tuombe

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Mungu ni mwema wakati wote.

Yesu akawauliza " ni yupi kwenu mwanae akimwomba samaki atampa nyoka? au akimwomba mkate atampa jiwe basi ikiwa ninyi mlio waovu mwajua kuwapa watoto wenu vilivyo vyema je si zaidi Baba yetu wa mbinguni atawapa ninyi!"

Mungu wa mbinguni awabariki nyote

Nawatakia Dominica ya kwanza ya Majilio yenye Baraka!
Mungu ni msikivu Amen Dominica njema
 
Sambamba na kuomba ni lazima tupambane dhidi ya uharibifu wa mazingira ili nature aliyoumba Mungu iendelee kuwepo.
Mvua inajitengeneza kutukana na mazingira maalumu, yasipokuwepo ni shida.
Basi tujipe kazi ya utetezi wa mazingira na kisha tuombe

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
Unasemea ile miti mil 3 kukatwa Selous kupisha mradi umeme?
 
Naona hujielewi hata wewe mwezi wa 7,8 na 9 mazao huwa yameshakomaa kipindi Cha kuvuna kwa hiyo unataka watu wapige maombi mvua inyeshee yaliyotayari kuvunwa yaharibike? Fikiria mahindi,mpunga nk umeshakomaa wa kuvuna halafu unaitia mvua inyeshee! Mambo ya maombi achia wanaojua
Mkuuu mie nilikuelewa kwa upana sana mkuuu ila asante kwa nyongeza
 
Bagamoyo inanyesha sasa.
Sheikh ponda amesema tuondoe dhulma kwanza Sasa sijui hyo dhulma imeshaondolewa?.
"ALLAH ANASEMA NIOMBENI NITAWAJIBUNI"
na hakusema ondoeni kwanza dhulma ndo NITAWAJIBUNI.
Mvua inanyesha kwa sababu ni msimu wake umefika na wala si kwa sababu ya maombi ya shekhe
 
Mungu ni mwema wakati wote.

Yesu akawauliza " ni yupi kwenu mwanae akimwomba samaki atampa nyoka? au akimwomba mkate atampa jiwe basi ikiwa ninyi mlio waovu mwajua kuwapa watoto wenu vilivyo vyema je si zaidi Baba yetu wa mbinguni atawapa ninyi!"

Mungu wa mbinguni awabariki nyote

Nawatakia Dominica ya kwanza ya Majilio yenye Baraka!
Huku kwetu ilinyesha ijumaa na Jana jumamosi

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Mungu ni mwema wakati wote.

Yesu akawauliza " ni yupi kwenu mwanae akimwomba samaki atampa nyoka? au akimwomba mkate atampa jiwe basi ikiwa ninyi mlio waovu mwajua kuwapa watoto wenu vilivyo vyema je si zaidi Baba yetu wa mbinguni atawapa ninyi!"

Mungu wa mbinguni awabariki nyote

Nawatakia Dominica ya kwanza ya Majilio yenye Baraka!
Mungu huyatambua mahitaji ya wana wake hata kabla ya maombi. Hatakubali wema wachache waangamie kwa sababu ya wengi waovu. Yeye huwanyeshea wema na wabaya.
 
Mungu ni mwema wakati wote.

Yesu akawauliza " ni yupi kwenu mwanae akimwomba samaki atampa nyoka? au akimwomba mkate atampa jiwe basi ikiwa ninyi mlio waovu mwajua kuwapa watoto wenu vilivyo vyema je si zaidi Baba yetu wa mbinguni atawapa ninyi!"

Mungu wa mbinguni awabariki nyote

Nawatakia Dominica ya kwanza ya Majilio yenye Baraka!
Mtumishi mbona huku nilipo mvua haijanyesha tangu juzi?
 
Back
Top Bottom