Leo ni Siku ya Bwana ya Kwanza ya Majilio mvua zinanyesha kila kona ya nchi, Mungu wa mbinguni amesikia maombi!

Amina mkuu, ila kwanini kuomba mvua kipindi hiki wakati tunajua kabisa nimsimu wa mvua, kwanini hatuombi mwezi wa 8 ama wa 7 na wa 9.
Naona hujielewi mwezi wa 7,8 na 9 mazao huwa yameshakomaa kipindi Cha kuvuna kwa hiyo unataka watu wapige maombi mvua inyeshee yaliyotayari kuvunwa yaharibike? Fikiria mahindi,mpunga nk umeshakomaa wa kuvuna halafu unaitia mvua inyeshee! Mambo ya maombi achia wanaojua
 
Great Thinker
Naona hujielewi hata wewe mwezi wa 7,8 na 9 mazao huwa yameshakomaa kipindi Cha kuvuna kwa hiyo unataka watu wapige maombi mvua inyeshee yaliyotayari kuvunwa yaharibike? Fikiria mahindi,mpunga nk umeshakomaa wa kuvuna halafu unaitia mvua inyeshee! Mambo ya maombi achia wanaojua
 
Anza ww kwenda kumfungulia mashtaka.ikulu sio mahali pa walanguzi na madalali, na wataka shortcut huku wakiliumiza taifa .jpm haya Mambo aliyachukia kwa nguvu zote!!ona ss kinachotokea ,japo tunajua kweli viatu ni vikubwa kwake lkn asitumie hk kisingizio kuliteketeza taifa ,na kuwachekea wahuni au kugonga cheers nao !!huu uhuni kila mwananchi mwenye hasira dhidi ya wahuni wanaoliteketeza hili taifa akemee vikali ,bila kumuinea muhuni yeyote haya!!ifikie wakati tunyooshane kwa kupeana ukweli ,unafiki NO !!
:D:D kweli watu tuna hasirasana.

Mkuu unachangia uzi huu huu wa mvua ama umepotea
 
Kila kona?....duh itabidi nirudi kwenye ramani ya Tanzanzia nione kama kona niliyopo ipo Tanzania.
 
Naona hujielewi mwezi wa 7,8 na 9 mazao huwa yameshakomaa kipindi Cha kuvuna kwa hiyo unataka watu wapige maombi mvua inyeshee yaliyotayari kuvunwa yaharibike? Fikiria mahindi,mpunga nk umeshakomaa wa kuvuna halafu unaitia mvua inyeshee! Mambo ya maombi achia wanaojua
Sawa, Mvua za Vuli zinaanzaga mwezi gani mkuu.
 
Sa

Sawa, Mvua za Vuli zinaanzaga mwezi gani mkuu.
Zikichelewa kuanza on time Ndio watu wanaomba mvua sababu wengi hulima kabla na kuweka mbegu au Miche aridhini Sasa ikichelewa hasara wanayopata sio ndogo

Wewe ukiwa sio mkulima mnunua tu vyakula gengeni Huwezi elewa maana ya mvua kuchelewa maana yake nini
 
Hujajibu swali.
 
Vile MATAGA wanafurahia wakisikia kuwa kudra imefanya kazi na sasa mvua inanyesha👇😁😁😁

Hawajui kwamba Taifa haliwezi kuendelea wala kuongozwa kwa kutumia kudra.Hawajui kwamba suala la mvua na ukame ni mipango ya binadamu.

301525.jpg
 
Bagamoyo inanyesha sasa.
Sheikh ponda amesema tuondoe dhulma kwanza Sasa sijui hyo dhulma imeshaondolewa?.
"ALLAH ANASEMA NIOMBENI NITAWAJIBUNI"
na hakusema ondoeni kwanza dhulma ndo NITAWAJIBUNI.
Wewe utakua shehe ubwabwa..wazee wa dhuluma..utaendaje mbele za Mungu kuomba mibaraka ukiwa umejaa dhulma na dhambi.?

#MaendeleoHayanaChama
 
Wewe utakua shehe ubwabwa..wazee wa dhuluma..utaendaje mbele za Mungu kuomba mibaraka ukiwa umejaa dhulma na dhambi.?

#MaendeleoHayanaChama
Mungu angekuwa anaangalia madhambi tunayo tusingekuwepo duniani leo,tusingepata hata chakula Wala pumzi.
Ila kwa kuwa yeye NI MUNGU mlezi wa viumbe vyote.ndo maana watu wabaya wanadunda tu
 
Mungu ni mwema wakati wote.

Yesu akawauliza " ni yupi kwenu mwanae akimwomba samaki atampa nyoka? au akimwomba mkate atampa jiwe basi ikiwa ninyi mlio waovu mwajua kuwapa watoto wenu vilivyo vyema je si zaidi Baba yetu wa mbinguni atawapa ninyi!"

Mungu wa mbinguni awabariki nyote

Nawatakia Dominica ya kwanza ya Majilio yenye Baraka!
Mbona morogoro hakuna
 
Mimi nipo Dodoma na hapa nipo kwenye gari nimepitia Wilaya 3 za Dodoma ambazo ni Mpwapwa, Kongwa kwa Ndugai na Chamwino pia. Hakuna hata tone 1 la mvua. Sio leo tu, bali ni tangu msumu ulipoisha Mwezi April. Labda kama utuambie kuwa Dodoma si sehemu ya nchi unayoizungumzia. Acha ku-generalize mambo kirahisi hivyo.
Salini ndugu!
 
Mungu ni mwema wakati wote.

Yesu akawauliza " ni yupi kwenu mwanae akimwomba samaki atampa nyoka? au akimwomba mkate atampa jiwe basi ikiwa ninyi mlio waovu mwajua kuwapa watoto wenu vilivyo vyema je si zaidi Baba yetu wa mbinguni atawapa ninyi!"

Mungu wa mbinguni awabariki nyote

Nawatakia Dominica ya kwanza ya Majilio yenye Baraka!
20211128_062539.jpg
20211128_063932.jpg
 
Back
Top Bottom