Leo ni mwaka mmoja kamili toka kifo cha Shangazi wetu kilipotokea kwa kutumbuliwa utumishi Serikalini. Inasikitisha

We rest tu iyo case tu maana hamna namna....japo nakuwaga against trait za Magu ila katika hili Magu alazwe pema peponi.
Kulikuwa na double standards nyingi sana kwenye utawala wake

Kuna wengi walitumbuliwa na kuna wengi pia waliendelea kubaki kazini pamoja na ushahidi kuwa wana vyeti feki
Vyeti feki lingekuwa fair lingeondoka na wenye phd fake pia .
Sitampa credit yoyote kwa swala la vyeti feki.
 
Huyu Mama alikuwa Afisa Muuguzi Mkunga, mwenye elimu ya stashahada toka KCMC COLLEGE na shahada Muhimbili university.
Alifariki akiwa na miaka 58 (miaka 2 kabla ya umri wa kustaafu), kwa shinikizo la damu na heart stroke.

Kabla ya kupata maradhi haya alitumbuliwa UTUMISHI wake na serikali kutokana na "INCONSISTENCY" kwenye cheti chake cha form four

Kutumbuliwa kwake kukaenda sambamba na kukosa mafao yake kwa utumishi wa miaka 33 ndani ya serikali.

FUNZO:
Sio kila hukumu kwa mujibu wa sheria ni hukumu kwa mujibu wa haki.

RIP - SHANGAZI
FUNZO:
Sio kila hukumu kwa mujibu wa sheria ni hukumu kwa mujibu wa haki.
 
Atakutana nao huko watamwambia kwamba ulituumiza sana duniani ila tumekusamehe
 
So sheria ya barabara isifuatwe tutumie unachokiita Hekima kwa kuacha mtu ajenge hadi katikati ya barabara.
Nyumba nyingi kimara mbezi zimevunjwa kwa kutumia Sheria ya mita 120. Nyumba nyingi Kati ya hIzo zilikuwepo toka enzi za Sheria ya barbara ni mita 60 . Kwa kutumia Sheria hiyo ilitakiwa kufanya compensation kwa nyumba zilikuwepo kabla ya Sheria ya 120 na hilo halikufanyika,
Barabara imeisha unaona kabisa kuna eneo kubwa limevunjwa kuliko lililotumika kwa ajilii ya barabara., Mind you watu wa mwanza hawakupitiwa na bomoa bomoa kwa sababu walimchagua.
 
Sheria ya 120 ni sheria ya 1950 huko kabla ya ht hio sheria ya hio sheria ya 60 ni vile tu sisi watanzania hatupendi kufuata sheria.

Tunabadili sheria kuwa accomodate wavunja sheria just bcoz tuna huruma au maslai nao..
Unaweka sheria ya 60m unasahau kua watu wanaongezeka na barabara itahitaji kupanuliwa(No future plan at all).
Kuna wakati hua nahisi babu zetu pamoja na kua hawakusoma sana ila walikua werevu kuliko wa kizazi hiki kinachopenda kujazana pembeni ya barabara, pamoja na uchache wao still walituachia road reserve.

Tungekua na plan nzuri ilipaswa 120 iwe standard...kuwe na mwendo kasi, metro rail, barabara za magari, waenda kwa miguu na reserve kwa ajili ya miti na bustani ila tumeweka 60 ili tutengeneze mazingira ya kulipana fidia kila unapofanyika upanuzi...

If You fail to plan you plan to fail.
 
Je unajua kwa miaka yote hio watu wangapi walikufa,umia, na hasara aliyosababisha kwa kutokua na ujuzi sahihi? unapoingia kazını unakabiziwa majukumu bila uangalizi bali usimamizi tu, tofauti na mwanafunzi ambaye anakua na uangalizi na usimamizi pia, usitetee uhalifu kwa sababu umetendwa na Ndugu yako, hii ndio inarudisha nyuma nchi nyingi za Kiafrica
 
Nipo na Magu kwa hili

Siwezi mpinga Magu kila sehemu kuna mabaya yake na mazuri...Hili la kutumbua vyeti feki ni zuri no matter what.
Double standards, waliosemekana pia kuwa na vyeti feki na majina feki wapo waliobaki na vyeo vyao pasi na kuguswa kisa wanakula meza moja.
 
Hayo ni matokeo pia ya nyeti feki, watu wanalalamika kufukuzwa ila mazara yake ni makubwa sana, kwani mwisho wa siku anapewa kazi ya kufanya maamuzi kutokana na vyeti alivyonavyo kumbe kichwani hakuna kitu, ukitaka kupata wanasayansi,mahandisi wachumi nk łazima wawe werevu kuanzia chini na sio kuungaunga.
 
Unatumbua watu na wala hufanyi replacement , na unawanyima stahiki zao , hii nchi yetu sote , hata kama kuna makosa yalifanyika , wapewe stahiki zao , yeye Maghufuli kwenye uchaguzi alitenda haki? Yeye alijiona yupo juu ya sheria.....Mungu akiamua amhukumu Sawa Sawa na matendo yake tutafika ??

Jamaa alikuwa na mission yake tuu ya hovyo , apumzike Tu Kwa amani......kaumiza watu wengi Sana tena kundi aliloumiza ni la middle income people na high income unatamka wazi wazi unataka matajiri waishi kama mashetani how comes ? Wamekukosea nini ?na amesababisha kuwe na mlundikano wa mabanda kwenye miji watu wakiishi kwenye ufukara mkubwa .....

Kwa kisingizio cha Raisi wa wanyonge
View attachment 1733892
Eti hakufanya replacement kama hujui ni bora kukaa kimya!
 
Eti hakufanya replacement kama hujui ni bora kukaa kimya!
Sjui kitu gan wakat vitu vipo wazi , mama angu ni mwalimu shule moja hv , waliondolewa walimu kama watano pale Kwa rabsha za vyeti feki , tena walikuwa ukingoni kustaaf , hawajalamba mafao na hakuna mwalimu mpya aliyepelekwa pale since 2017 up to date .... Mtu wenu alifanya mambo bila hekima na busara ......
 
Sheria ya 120 ni sheria ya 1950 huko kabla ya ht hio sheria ya hio sheria ya 60 ni vile tu sisi watanzania hatupendi kufuata sheria.

Tunabadili sheria kuwa accomodate wavunja sheria just bcoz tuna huruma au maslai nao..
Unaweka sheria ya 60m unasahau kua watu wanaongezeka na barabara itahitaji kupanuliwa(No future plan at all).
Kuna wakati hua nahisi babu zetu pamoja na kua hawakusoma sana ila walikua werevu kuliko wa kizazi hiki kinachopenda kujazana pembeni ya barabara, pamoja na uchache wao still walituachia road reserve.

Tungekua na plan nzuri ilipaswa 120 iwe standard...kuwe na mwendo kasi, metro rail, barabara za magari, waenda kwa miguu na reserve kwa ajili ya miti na bustani ila tumeweka 60 ili tutengeneze mazingira ya kulipana fidia kila unapofanyika upanuzi...

If You fail to plan you plan to fail.
Mkuu
Kaa kimya kama hujui kitu ,
Ilikuwaje kamishna wa ardhi atoe hati kwanyumba zilizoko barabarani? Ilikuwaje serikali nayo ikajenga kwenye road reserve?
 
Nilipokuwa nafanya kazi kuna daktari aliondolewa na ikafanywa replacement mwingine akaja sasa me nakushangaa unavyosema hawakufanyiwa replacement
Sjui kitu gan wakat vitu vipo wazi , mama angu ni mwalimu shule moja hv , waliondolewa walimu kama watano pale Kwa rabsha za vyeti feki , tena walikuwa ukingoni kustaaf , hawajalamba mafao na hakuna mwalimu mpya aliyepelekwa pale since 2017 up to date .... Mtu wenu alifanya mambo bila hekima na busara ......
 
Huyu Mama alikuwa Afisa Muuguzi Mkunga, mwenye elimu ya stashahada toka KCMC COLLEGE na shahada Muhimbili university.
Alifariki akiwa na miaka 58 (miaka 2 kabla ya umri wa kustaafu), kwa shinikizo la damu na heart stroke.

Kabla ya kupata maradhi haya alitumbuliwa UTUMISHI wake na serikali kutokana na "INCONSISTENCY" kwenye cheti chake cha form four

Kutumbuliwa kwake kukaenda sambamba na kukosa mafao yake kwa utumishi wa miaka 33 ndani ya serikali.

FUNZO:
Sio kila hukumu kwa mujibu wa sheria ni hukumu kwa mujibu wa haki.

RIP - SHANGAZI
Shortcut will cut you short.
 
Pole sana mkuu, hakikisha unapata mafanikio zaidi ya shangazi ili afarijike huko aliko, pia hakikisha unachinja mbuzi na kuchoma mle na familia huyu jitu likishafukiwa huko chini.
Ya kwako ni lini tuje kunywa bia?mtu mwenye akili timamu hawezi kuongea hivyo.
 
Back
Top Bottom