Leo ni mwaka mmoja kamili toka kifo cha Shangazi wetu kilipotokea kwa kutumbuliwa utumishi Serikalini. Inasikitisha

Ukweli kwa kiasi kikubwa serikali ya mzee haikuwahi kuwa na haki na ubinadam ndani yake hata siku moja, zipo nyakat ambazo alifanya haki kwa kutaka kujionesha kua ni mwenye haki na ikitokea anafanya hivyo hubeba macamera ili watu wamuone lakin kwenye background km mnyama makali. Wakat mwingne alishindwa kujificha hata tukayaona matendo yake katika matukio mbalimbali yasio ya kibinadam na uonevu wa moja kwa moja( live bila chenga).

Japo pia alikua na mzur yake ambayo tutamuenz kwa hayo.
 
Sure ,tunapingana na hawa MATAGA wakituaminisha kwamba JIWE alikuwa anafanya mazuri tu as if hakuna mabaya aliyofanya.

Hata nyerere alisema kuna mambo mazuri na mengine ya kijinga ila alisema tuyaendeleze mazuri na ya kijinga tuyaache na jiwe kasema kabisa tumkumbuke kwa mazuri na si mabaya which means anajua kabisa kuna mabaya alifanya....Sasa hawa MATAGA wanataka kulazimisha watu wakumbuke mazuri tu wakati kuna wengine walifanyiwa mabaya ambayo hawawezi kusahau...Mla kunde husahau ila sio mtupa maganda.
 
Under ceteris paribus, given time and without compensating maintenance, the entropy of any closed system will tend to increase and not decrease. Such is the intricate and inherent nature of the defining feature of the arrow of time.
Ndio kifo hicho!!!!?

Haya na wapi watu wabaya ndio wanaokufa tu!?

Nikauliza vipi watu wema hawafi!?

Nikakuuliza pia je tunakufa sababu tunawakosea watu, ama tunakufa sababu yatupasa tufe!?
 
Ndio kifo hicho!!!!?

Haya na wapi watu wabaya ndio wanaokufa tu!?

Nikauliza vipi watu wema hawafi!?

Nikakuuliza pia je tunakufa sababu tunawakosea watu, ama tunakufa sababu yatupasa tufe!?
Kwanza umeelewa nilichoandika? Maana maswali yako yanaonesha hujaelewa nilichoandika.
 
Kutumia vyeti visivyo halali ni kosa kubwa sana, na Nchi haiwezi kuendele kama kuna watu na aina hii, na matokeo yake tuna engineers ambao hata kutengeneza machine ya Njiti za meno hawawezi, madakiri ambo hawana uwezo wa Kutibu, waalimu hawajui kufundisha oroza ndefu, na uhakiki lazıma uendelee, na lazıma tuwe na website ya Serikali ambayo Vyeti vyote vinavyotolewa na Shule zote nchini vinasajiliwa, ili mwajiri aweze kuhaki vyeti kabla hajamwajiri mfanyakazi. Mazara ya kuwa na wataalamu feki ni Mkubwa sana
Jamaa unafanya analysis ambazo hata ujui nn kinachozungumziwa na hoja ipo wapi aisee? ebu jiulize huyu mtu katumikia kada hiyo kwa zaidi ya miaka 30 bado ataendelea kuwa kilaza? Mangapi anajua kuhusiana na hiyo kada? kwny hiyo miaka huyu mtu kahudumia watz wangap? je mafunzo mangap alienda yaliyomuongezea ufanisi? Unajua kwamba hy mtu anaweza kuwa mwalim mzur kwa vijana wanaoajiliwa sahizi hata kama wana masters?, kuna doctor mie namfahamu alitumbuliwa bongo kaenda Botswana nw ni daktari kule anaendelea kuokoa maisha ya watu
 
Huu utaratibu wa Kila mtu kujiona anapaswa kufikiriwa ndiyo ulokua unalalamikiwa miaka nenda rudi,unajisikiaje mtu anafanya kazi kwa Vyeti vya ujanja janja then wewe mwenye Vyeti visivyo na shaka unahangaika upo uraiani.

Hili fagio bado lilipaswa kuendelea tu na hakuna huruma iwe umefanya kazi hata miaka100,lazma uwajibishwe.

We huoni kiasi gani manesi feki wanavyokatiza maisha ya wagonjwa wangapi mahospitali?

Nimeshuhudia watu wakitengeneza Vyeti feki na hata Mimi nishaombwa cheti changu kieditiwe mtu aingizwe kwenye system na Mkubwa mmoja bwana wake mdada aliyekua rafiki yangu.

Haya Mambo ukiangalia kijujuu na kihuruma huruma nchi haitoenda na utaishiwa kulaumiwa tu Kama utawala wa J.k
Lazima uelewe usi generalize tu mambo!!hao wa vyeti fake walikuwa ni wa aina tofauti tofauti, mfano , mtu form 4, alipata division four, akanunua cheti cha aliyepata divison 3, akaenda A level au chuo chochote kile, akasoma labda udaktari hadi kufikia kuwa dr, bingwa huyo utamuita kilaza?!!kwamba hawezi tibu mtu?lile zoezi lilikuwa ni dhuruma tu, mbona kwenye majeshi hawakuguswa?na je baada ya kuwapunguza hao kuna walio ajiriwa kuchukua nafasi hizo?!!mtu kama angekuwa amefoji cheti cha taaluma husika hapo kweli anakuwa kilaza, na mbona liligubikwa na double standard sana?!
 
Je system inataka hivyo maana kila mtu anaweza pita njia hii je wote tupite tutapata ajira??

tusisapoti dhambi hata kama ujuzi aliosomea miaka 200 we under the system.
Mbona kwa wanajeshi na police hakusogeza pumbu zake kule kama alkuwa anaweka mambo safi
 
Huyu Mama alikuwa Afisa Muuguzi Mkunga, mwenye elimu ya stashahada toka KCMC COLLEGE na shahada Muhimbili university.
Alifariki akiwa na miaka 58 (miaka 2 kabla ya umri wa kustaafu), kwa shinikizo la damu na heart stroke.

Kabla ya kupata maradhi haya alitumbuliwa UTUMISHI wake na serikali kutokana na "INCONSISTENCY" kwenye cheti chake cha form four

Kutumbuliwa kwake kukaenda sambamba na kukosa mafao yake kwa utumishi wa miaka 33 ndani ya serikali.

FUNZO:
Sio kila hukumu kwa mujibu wa sheria ni hukumu kwa mujibu wa haki.

RIP - SHANGAZI
Mungu nae fundi aliemtumbua shangazi nae kafariko kwa covid,yani manyani yanasherekea kwa pombe na chakula
 
Huu utaratibu wa Kila mtu kujiona anapaswa kufikiriwa ndiyo ulokua unalalamikiwa miaka nenda rudi,unajisikiaje mtu anafanya kazi kwa Vyeti vya ujanja janja then wewe mwenye Vyeti visivyo na shaka unahangaika upo uraiani.

Hili fagio bado lilipaswa kuendelea tu na hakuna huruma iwe umefanya kazi hata miaka100,lazma uwajibishwe.

We huoni kiasi gani manesi feki wanavyokatiza maisha ya wagonjwa wangapi mahospitali?

Nimeshuhudia watu wakitengeneza Vyeti feki na hata Mimi nishaombwa cheti changu kieditiwe mtu aingizwe kwenye system na Mkubwa mmoja bwana wake mdada aliyekua rafiki yangu.

Haya Mambo ukiangalia kijujuu na kihuruma huruma nchi haitoenda na utaishiwa kulaumiwa tu Kama utawala wa J.k
Hayati nae alikua na PHD feki,alipohojiwa na ben saanane akamuwahisha kuzimu,fanya ongee na hayati atupe maiti ya ben tumzike
 
Pole sana mkuu, hakikisha unapata mafanikio zaidi ya shangazi ili afarijike huko aliko, pia hakikisha unachinja mbuzi na kuchoma mle na familia huyu jitu likishafukiwa huko chini.
 
Huyu Mama alikuwa Afisa Muuguzi Mkunga, mwenye elimu ya stashahada toka KCMC COLLEGE na shahada Muhimbili university.
Alifariki akiwa na miaka 58 (miaka 2 kabla ya umri wa kustaafu), kwa shinikizo la damu na heart stroke.

Kabla ya kupata maradhi haya alitumbuliwa UTUMISHI wake na serikali kutokana na "INCONSISTENCY" kwenye cheti chake cha form four

Kutumbuliwa kwake kukaenda sambamba na kukosa mafao yake kwa utumishi wa miaka 33 ndani ya serikali.

FUNZO:
Sio kila hukumu kwa mujibu wa sheria ni hukumu kwa mujibu wa haki.

RIP - SHANGAZI
Maandishi yako yanaashiria kweli kulikuwa na tatizo kwenye cheti chake. Nina uhakika neno uliloweka kwenye mabano 'inconsitency' silo lililotumika katika barua aliyopewa. Umelitumia sivyo katika kuainisha kwa ujumla mantiki ya barua aliyopewa. Sasa kama kweli aligushi cheti, tumwachie aendelee kudunda kwa kuwa tu amedumu kwa muda mrefu kazini? Kosa likibainika hatua stahili zichukuliwe mara bila kujali hiki wala kile. Huwa ninaangalia sinema ziitwazo "I almost got away" zinazoonyesha wafungwa wanatoroka gerezani na wengine wanakaa uraiani kwa miaka mingi kabla ya kukamatwa tena. Vibaka wengine wanaua watu na wanakaa 'kifichoni' kwa miaka hata 20 hadi 30. Baadaye uchunguzi yakinifu unakuja kugundua mbaya wao alikuwa hapo hapo ndani ya jamii lakini alikuwa hajajulikana tu. Mara baada ya kugundulika wanapewa adhabu inayostahili na watorokaji wanaongezewa adhabu nyingine kwa utorokaji juu ya ile ya kosa walilotenda. Sasa hapa kwetu tuwaache tu wanaogusha vyeti baada ya kuwagundua kwa kuwa tu muda umepita sana tangu watende kosa? Washukuru kwamba adhabu imeishia kwa kazi kuota mbawa na wala hawakuadhibiwa kwa kosa lenyewe walilofanya.
 
Huyu Mama alikuwa Afisa Muuguzi Mkunga, mwenye elimu ya stashahada toka KCMC COLLEGE na shahada Muhimbili university.
Alifariki akiwa na miaka 58 (miaka 2 kabla ya umri wa kustaafu), kwa shinikizo la damu na heart stroke.

Kabla ya kupata maradhi haya alitumbuliwa UTUMISHI wake na serikali kutokana na "INCONSISTENCY" kwenye cheti chake cha form four

Kutumbuliwa kwake kukaenda sambamba na kukosa mafao yake kwa utumishi wa miaka 33 ndani ya serikali.

FUNZO:
Sio kila hukumu kwa mujibu wa sheria ni hukumu kwa mujibu wa haki.

RIP - SHANGAZI
Kama kwa miaka 33,alikuwa anapokea mshahara akiwa kwenye ngazi hiyo aliyoipata kwa kufoji Cheti Cha form, 4,alikuwa anafanya udanganyifu, wizi ni kosa la jinai,

Uwezi ukafanya forgery, ukafanikiwa halafu leo utuambie ni haki yako, kupokea mafao. The end doesn't justfy the means, katika utawala wa Sheria.

Poleni sana, busara ingetumika, lakini ingeweka picha mbaya, kwamba unaweza ujafoji vyeti, ukapata cheo kwenye utumishi, halafu mambo yawe poa. sio sahihi.

She was a criminal.
 
kusimamia sheria ni ushetani!? Basi shetani anafaa.

Mtoa mada pole kwa kufiwa. Kama kweli vyeti vyake vilikua magumashi pia pole yake! Ndio maisha.
Sheria zingine zimepitwa na wakati na zina uonevu,, inahitajika hekima kusimamia Sheria hizi.
Ni zaidi ya ushetani kusimamia Sheria kandamizi.
 
Back
Top Bottom