Leo ni leo huku kwetu Arusha (Mkutano wa CHADEMA)

nitamueleza mbunge wangu apeleke hoja bungeni ili chama cha chadema kifutwe; kwasababu kinatishia amani ya nchi pia anampango wa kumuondoa madarakani rais aliyechaguliwa kidemokrasia kimabavu; hili ni kosa kwa mujibu wa katiba!
Mwambie apeleke hoja ya kuwaletea maendeleo jimbon kwako,watoto wapate elimu nzuri,na nyie mpewe huduma za jamii na siyo kupeleka habari za chadema!Gamba gumu sana wewe!

mwambie apeleke umeme na maji safi kijijin kwenu c unakaa hapa mjini unaona rhaa

nitamueleza mbunge wangu apeleke hoja bungeni ili chama cha chadema kifutwe; kwasababu kinatishia amani ya nchi pia anampango wa kumuondoa madarakani rais aliyechaguliwa kidemokrasia kimabavu; hili ni kosa kwa mujibu wa katiba!
Hatutaki serikali ya waongo, waizi, waoga...

Kwa mara ya kwanza nimehudhuria ktk Mkutano wa siasa wa Hadhara Hapa Arusha, Nilichokiona Kinatia moyo na Hamasa.

Kua vitu nilivinote kwa muda wote nilokuwepo pale uwanjani.

Hoja Nzito,
Mwitikio Kutoka kwa Wananchi,
Support ya kutosha,
Utulivu wa Wasikilizaji,

Kwa kweli Nimeipenda sana Kuna Muda wakati mweshimiwa Lema anaongelea ishu za haki na akasema kwamba ipo siku wataandamama mpaka Ikulu, Jamaa mmoja akapandisha mzuka akamwambia yeye anaenda na akaanza kuondoka ndipo Lema akamwambia kwamba Atulie na awe mvumilivu,,

Na baadae aliuliza watu wangapi wako tayari kwenda Barabarani na Kuandamana wooote wakasema Wako tayari na kwa hali isiyo ya kawaida watu wakataka kuandamana muda ule ule. Ilikua tamu sana. Na nimejifunza vitu vingi sana.

Mwambie apeleke hoja ya kuwaletea maendeleo jimbon kwako,watoto wapate elimu nzuri,na nyie mpewe huduma za jamii na siyo kupeleka habari za chadema!Gamba gumu sana wewe!
hata kufutwa kwa chadema pia ni sehemu ya maendeleo maana badala ya watu kuandamana kila kukucha; watapata fursa ya kufanya kazi na kujiletea maendeleo yao binafsi na ya taifa kwa ujumla

RA kaishindwa Chadema itakuwa wewe nyuma ya laptop, wewe hangaikia mlo wa watoto wako achana na Chadema itakuumiza moyo bure.

na sisi madiwani tuliofukuzwa chadema tutafanya mambo yafuatayo:

1. tutakwenda mahakamani kupinga udikteta uliofanywa na viongozi wa chadema kutufukuza chaguo la wana Arusha

2. tutaandaa mkutano mkubwa jijini arusha ili kujibu mapigo ya mkutano wa leo pia kuwaeleza wananchi kinaga ubaga nini kinaendelea ndani ya chadema, na mchakato wa uchaguzi ulivyoenda na maovu yanayofanywa na Lema kuhujumu Arusha

Good esto malla go boy

RA kaishindwa Chadema itakuwa wewe nyuma ya laptop, wewe hangaikia mlo wa watoto wako achana na Chadema itakuumiza moyo bure.
nakuhakikishieni hoja hiyo itaingia bungeni kesho tu! na kabla ya mwezi wa kenda chadema itakuwa ishafutwa! maana ushahidi upo! hakuna siasa za kidemokrasia!

hata kufutwa kwa chadema pia ni sehemu ya maendeleo maana badala ya watu kuandamana kila kukucha; watapata fursa ya kufanya kazi na kujiletea maendeleo yao binafsi na ya taifa kwa ujumla

huyu anaekimblia kuufutwa kwa chadema aijalishi chadema kitafutwa mungu atainua chama kingine watu wale wale na saa saa kama wewe ni mtu wa mungu saa ya kubomoa kila mapepo ni saa ya kulaani na kutrekeza yule mbuzi waliomchimbia pale ikulu ageuke damu kwa familia zao..bnakwambia kikwete mpaka ifike dec hakuna rangi atakayoacha kuiona

Back
Top Bottom