Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,891
- 155,887
Kila nikiwa kwenye majamboz na mabinti huwa wananisifia eti hawajawahi kupata mwanamume mtamu kama mimi...
Huu naujua kuwa kuwa ni uongo usio na kichwa wala miguu kwa kuwa KIPEREGA changu hakina matawi, kiko sawa na viperega vya watu wengine.
Sasa hizi sifa za kijinga sizitaki. Nanyi kina dada mkiwa ulingoni msiwasifu wanaume zenu kwa sifa mfano wa ahadi za chama cha mafisadi, matokeo yake wanaume wengine wananogewa na misifa na kujikuta wamemwaga lile bakuli lao la mchuzi na kukuacha bibie ukilalamika kuwa hujafikishwa kileleni
Natamani sana huyo Zamwamwa mikela angekutana na wewe ana kwa ana.dude lako limepinda kama mpira wa maji
hahahahah dena anachakachuliwa na ukubwa wote sina mbavu
mlete apa tumuulizeHata nikiwa najiamini.... je ni kweli kwamba mi ni spesho kuliko wanaume zao wote?
Je mi mti wangu una matawi hadi wapate raha iliyopitiliza?
we nae umezidi, mtu husifiwa kwa kazi nzuri anayofanya kama we umegundua huwafikishagi wakikusifia tu unamwaga bakuli lako la mchuzi basi hua wanaambizana msifu tu amalize, uishie zako asikuzoee au labda kunakitu wanafwata kwako wakichukua wanaambizanaKila nikiwa kwenye majamboz na mabinti huwa wananisifia eti hawajawahi kupata mwanamume mtamu kama mimi...