Leo nawapasulia yai viza

Kila nikiwa kwenye majamboz na mabinti huwa wananisifia eti hawajawahi kupata mwanamume mtamu kama mimi...
Huu naujua kuwa kuwa ni uongo usio na kichwa wala miguu kwa kuwa KIPEREGA changu hakina matawi, kiko sawa na viperega vya watu wengine.
Sasa hizi sifa za kijinga sizitaki. Nanyi kina dada mkiwa ulingoni msiwasifu wanaume zenu kwa sifa mfano wa ahadi za chama cha mafisadi, matokeo yake wanaume wengine wananogewa na misifa na kujikuta wamemwaga lile bakuli lao la mchuzi na kukuacha bibie ukilalamika kuwa hujafikishwa kileleni

Hujajua tu mpaka leo kuwa ni mbinu ya kukufanya ukate pochi kubwa zaidi............enewei hata mimi niliambiwa hivyo hivyo na hao hao!
 
Mikela........mtu akifanya zuri lazima asifiwe na hata katika mapenzi ni hivyo hivyo ati.kwanini usimpe sifa zake yule anayekukuna na kukufikisha kwenye pepo flani kwa muda huo?lazima mjua shughuli apewe haki yake ya sifa.
mwanaume sio ukubwa wa kiperege bali uwezo wa kukitumia.maana unaweza jaliwa samaki papa ukashindwa kumgeuza wakati mwenye dagaa anampindua.........nani atakutaka ?

FL na wewe sometimes!!!!!! unashuka nondos, waambie hao
 
lkn si kila sifa ni sifa(wajua hilo)mfano mtu anakusifia dude lako limepinda kama mpira wa maji,unadhani ni sifa nzuri?so kuwa makini na sifa upewazo!
.....ahahahahaaaah hii sio sifa bali ni kudhalilishwa.
 
Back
Top Bottom