Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 75,203
- 157,378
Kila nikiwa kwenye majamboz na mabinti huwa wananisifia eti hawajawahi kupata mwanamume mtamu kama mimi...
Huu naujua kuwa kuwa ni uongo usio na kichwa wala miguu kwa kuwa KIPEREGA changu hakina matawi, kiko sawa na viperega vya watu wengine.
Sasa hizi sifa za kijinga sizitaki. Nanyi kina dada mkiwa ulingoni msiwasifu wanaume zenu kwa sifa mfano wa ahadi za chama cha mafisadi, matokeo yake wanaume wengine wananogewa na misifa na kujikuta wamemwaga lile bakuli lao la mchuzi na kukuacha bibie ukilalamika kuwa hujafikishwa kileleni