Leo nawapasulia yai viza

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,448
154,314
Kila nikiwa kwenye majamboz na mabinti huwa wananisifia eti hawajawahi kupata mwanamume mtamu kama mimi...
Huu naujua kuwa kuwa ni uongo usio na kichwa wala miguu kwa kuwa KIPEREGA changu hakina matawi, kiko sawa na viperega vya watu wengine.
Sasa hizi sifa za kijinga sizitaki. Nanyi kina dada mkiwa ulingoni msiwasifu wanaume zenu kwa sifa mfano wa ahadi za chama cha mafisadi, matokeo yake wanaume wengine wananogewa na misifa na kujikuta wamemwaga lile bakuli lao la mchuzi na kukuacha bibie ukilalamika kuwa hujafikishwa kileleni
 
Usijifu kusifiwa, jutia ujinga wako wa kuwavulia nguo wanawake lukuki, angalia na muogope Mungu ndugu yangu:teeth::teeth::teeth:
 
Inaonekana wewe ni muongaji mzuri sana, ndiyo maana wanakupa sifa za uongo!na hasa ikizingatia wewe mwenyewe umekiri kuwa wewe ni zaifu kwenye mambo hayo!pole sana!
 
Mkisifiwa tabu msiposifiwa tabu...kipi ni kipi hapa???saa zingine sifa inaongeza morale unajua like next time unampa zaidi ya kile ulichompa kabla......kubali sifa tu...
 
lkn si kila sifa ni sifa(wajua hilo)mfano mtu anakusifia dude lako limepinda kama mpira wa maji,unadhani ni sifa nzuri?so kuwa makini na sifa upewazo!
 
dude lako limepinda kama mpira wa maji
Natamani sana huyo Zamwamwa mikela angekutana na wewe ana kwa ana.
nafikiri angekuwa amebahatikakukutana na chuo kikuu cha maisha.
Bora jando na unyago virejeshwe ili kuondokana na watu wenye msimamo na mtazamo duni kama wa mikela
 
hahahahah dena anachakachuliwa na ukubwa wote sina mbavu

Sasa we unafikiri anafanywaje anadanganywa atoe mkwanja na yeye bichwa hilo wakati anajua kabisa ni uongo yeye anavimbisha bichwa. Mwasu hiyo haki kweli wajameni.????
 
Hata nikiwa najiamini.... je ni kweli kwamba mi ni spesho kuliko wanaume zao wote?
Je mi mti wangu una matawi hadi wapate raha iliyopitiliza?
 
Hata nikiwa najiamini.... je ni kweli kwamba mi ni spesho kuliko wanaume zao wote?
Je mi mti wangu una matawi hadi wapate raha iliyopitiliza?
mlete apa tumuulize
majibu anayo yeye ..km sifa za kweli..au uwongo..au ili utoe chapaa...:target:
 
Kila nikiwa kwenye majamboz na mabinti huwa wananisifia eti hawajawahi kupata mwanamume mtamu kama mimi...
Huu naujua kuwa kuwa ni uongo usio na kichwa wala miguu kwa kuwa KIPEREGA changu hakina matawi, kiko sawa na viperega vya watu wengine.
Sasa hizi sifa za kijinga sizitaki. Nanyi kina dada mkiwa ulingoni msiwasifu wanaume zenu kwa sifa mfano wa ahadi za chama cha mafisadi, matokeo yake wanaume wengine wananogewa na misifa na kujikuta wamemwaga lile bakuli lao la mchuzi na kukuacha bibie ukilalamika kuwa hujafikishwa kileleni
we nae umezidi, mtu husifiwa kwa kazi nzuri anayofanya kama we umegundua huwafikishagi wakikusifia tu unamwaga bakuli lako la mchuzi basi hua wanaambizana msifu tu amalize, uishie zako asikuzoee au labda kunakitu wanafwata kwako wakichukua wanaambizana
kwa hiyo usizuie ma binti kuwasifia wanao wafikisha pia kama unasifiwa pengine kweli jitahidi uwe unafanya mambo kulingana na sifa unazopewa, hayo ni mambo ya wawili we umetaja unavyosifiwa ila hujatwambia wewe hua unasemaje ukute we ndo bingwa wa mapromise maana wanaoongoza kwa ahadi za kibunge ni wanaume na wala si wadada, kitu kingine unatakiwa kujua maneno unayopewaga hua nivikorombwezo tu na baada ya hapo husahaulika usidhani kila jambo nikweli tena pengine ukiuliza badae mtu hakumbuki kama alisema . JESUS IS MY HOME BOY.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom