Hodi! Hodi wajameni nipokeeni mja wenu.Natumaini mapokezi mazuri. Asanteni.
Nyivonduma sir.
Naona mmenigomea najikaribisha mwenyewe
Au KYACHAKYICHE.Jina lako gumu sana bana...Umeshindwa kujiita jina rahisi kama Mwakitakotako au Ng'wanza Madaso!
Au KYACHAKYICHE.
Au MSINDIMA.Au iteitei lya kite
Raha jipe mwenywe usingoje kupewa.Naona mmenigomea najikaribisha mwenyewe
Mimi ni HE lenye ndevu kabisa, jina langu rahisi muulizeni mtu anayejua kusoma vizuri
Mgeni ana alama gani Chris?Nahisi kama wewe si mgeni! Umeamua kubadili ID?
Kumbe na wewe umestuka kaka.Nahisi kama wewe si mgeni! Umeamua kubadili ID?
Mgeni ana alama gani Chris?
Au MSINDIMA.
Ha ha ha ha, mnaanza kunifurahisha