Leo na milele nitakuwa hapa

Jina lako gumu sana bana...Umeshindwa kujiita jina rahisi kama Mwakitakotako au Ng'wanza Madaso!
 
Karibu....taratibu lakini, usijikaribishe wanajamii wataficha ugali
 
na hizo sir sijui ndimanyiro sijui kitu gani lazima utakuwa kwenye kilabu flani pale kibosho saa hizi unasikitika na mbege babangu.....sorry, we she au he?
 
na hizo sir sijui ndimanyiro sijui kitu gani lazima utakuwa kwenye kilabu flani pale kibosho saa hizi unasikitika na mbege babangu.....sorry, we she au he?

Mimi ni HE lenye ndevu kabisa, jina langu rahisi muulizeni mtu anayejua kusoma vizuri
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom