Exaud J. Makyao
JF-Expert Member
- Nov 30, 2008
- 1,518
- 22
Haya mkuu.Au Exaud J. Makyao!
Naona yamenirudia.
Lakini hiyo avetor yake inatia aibu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya mkuu.Au Exaud J. Makyao!
Thats my sista! Thats my favourite button!umeona nimebonyeza kabatani ka kulia mwisho?
Haya mkuu.
Naona yamenirudia.
Lakini hiyo avetor yake inatia aibu.
Aibu gani mkuu haya ngoja nibadili niweke more advanced
Kweli Chris,Si nilikuambia si mgeni huyu ukanitilia mashaka? Mgeni hawezi kuingia kwa fujo namna hii!
Angalia sijiunge leo na kujipotezea heshima lakini.
Haya.
Kaka si mgeni huyu! Ni legend huyu!
Nimekugongea kaka na ya hapa hiyooooooo SENKS.Kaka si mgeni huyu! Ni legend huyu!
Raha jipe mwenywe usingoje kupewa.
Karibu.
Very well said.raha jipe mwenyewe ikipelea unaagiza
Naona mmenigomea najikaribisha mwenyewe