Leo mko wapi? Been missing you all

Last edited by a moderator:
Ngoja niipige kwa karibu kidogo najua baiki ka hizi sio common

Natafta abiria wa kiti cha nyuma hapa
 
watu8 heshima yako dakitari
Mzima wewe mkuu
Umepotea sana kama kidonge cha Klorokwini
 
Last edited by a moderator:
Najua ishu ya Betty R.I.P na Stories za wachumba wa JF zimeteka jukwaa lakini pia kuna mtifuano wa Lara moko na yule mwingine nikimkumbuka takwambia

hivi kwani Betty alikuwa anatumia ID ipi humu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…