masai dada pia nimemmis sana
Najua ishu ya Betty R.I.P na Stories za wachumba wa JF zimeteka jukwaa lakini pia kuna mtifuano wa Lara moko na yule mwingine nikimkumbuka takwambia
Hahahaha mkwe unajua sisi tulioipokea hii sunna ya wake wawili tunapata raha sana....
Habibty wangu anajua kama leo ratiba ni ya miss neddy na kesho ni yeye na tunaenda mbali zaidi
Imekuwaje nimemsahau kabanga kiwatengu Viol MUSSOLIN ladyfurahia farkhina Jerrymsigwa ....nitaendelea kukumbuka Wengine kadiri burudani wine itakavyonituma
Kabisamkuu tunapata pumzi ya bure isiyo na malipoAise kila siku bora jana...tunaendelea kupata hii pumzi ya bure...
Zamani tuliitana magaidi ili kuwa sifa leo Lol majanga
Ndo manake farkhina hapo hakuna anayekohoa
Kama ni hivo sawa.....itabidi wawe wanawasiliana sio unajidai upo kwa miss neddy kumbe upo kwa miss chagga
KARIBUNI KWANZA HAPA ,CHA MCHANA HIKI
mshana jr Kiongozi nashukuru sana, kukumbukana ni kitu muhimu sana, tuuendeleze upendo sio baadae ukija kuwa mbunge waziri au raisi tunakimbiana, haipendezi kutupa jongoo na mti wake kwani si jambo la maana, tukiachilia hayo narudia kusema tena asante sana