Leo Mkeka Wa Jamaa Umetiki😂😂😂

Leo Mkeka Wa Jamaa Umetiki😂😂😂

AISEE sorry mkuu hibi huku premier ukitoa pesa inachukua mda gan mpk upate maana nmetoa asubuh mpk saa hz kimya, mi mgeni premier nlijaribu tu upepo huku
Hadi kesho utakuwa umeshapata pesa yako
 
Wazee wa probability, mimi nimefikia hapo,nisaidieni nifanyej ili hizo 4 zilizobaki zisinikoseshe pesa.View attachment 834616View attachment 834617
Ni mkeka mmoja huo, zimebaki timu 4 tu nipige 71K kwa tsh 200 tu.
Screenshot_2018-08-13-15-23-36.jpg
 
Ni mkeka mmoja huo, zimebaki timu 4 tu nipige 71K kwa tsh 200 tu.View attachment 834667
subiria mkuu, mi jna alibaki barcelona tu kwe mikeka km minne yaan nliku ncheki game sevilla wakapata penati dk ya 89 bahati nzuri wakakosa......saivi nasubiri tu wantumie pesa yangu ikifik naipitiliza kwe bank account yangu kabisaa
 
Ikifikia stage hii kuna namna ya kucheza na hesabu kujihakikishia ushindi, hesabu hiyo itapunguza kiasi utakachopata endapo mambo yataenda kama ulivyo bet au kukuokoa kutoka mikono mitupu endapo timu mojawapo wa zilizobaki zitakuchania mkeka.
 
mpesa inakama buku 5 nitest zali nipe na majibu kabisa au kugelezeana hairuhusiwi?
Ohooooo sasa sio mchezo kubeti hvyooo ebu ona hapo chungulia kidogo upate mwangaza
Screenshot_2018-08-13-17-07-47.jpg
Screenshot_2018-08-13-17-06-14.jpg
 
Ikifikia stage hii kuna namna ya kucheza na hesabu kujihakikishia ushindi, hesabu hiyo itapunguza kiasi utakachopata endapo mambo yataenda kama ulivyo bet au kukuokoa kutoka mikono mitupu endapo timu mojawapo wa zilizobaki zitakuchania mkeka.
kumbe kuna mahesabu mkuu?ndo maana kipanga wa betting mtaa mzima ana mapeni mengi kwa maelezo nayosikiaaga wakiongea jamaa mkali wa betting eti mikono yake ina baraka sema kwake kuna foleni ngoja nikomae na hazard cfc
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom