Fkilia wangapi wamebet na hizo jero jero mzeeAnapigaje sasa Kwa style hyo mtu anatumia jero tu anapata 168... Aisee
Oyooo ko its better ukishinda ujilipue ununue hata kiwanja, ni kwanini hizo pesa za muhindi au wamezichawia ziwe hivooPesa za muhindi tu hazijawahi kumuendeleza mtu .....hizo ukizipata bora chap chap nenda dukani nunua kitu chochote chenye thaman ya pesa hiyo kama unajenga nunua bati misumari na vitu vingine ila sio kufanya mtaji itakufa tu

Umesema??Haya mambo haya Everton juzi wamenikosesha kitita kwa sare yao ile........sikulala kuifikiria buku yangu na uzembe wa Everton dah

Kwann hujaniambia nikuletee hiyo raha wakati mi ninayo?Sanaaaaa toka juzi sina raha
Kwann hujaniambia nikuletee hiyo raha wakati mi ninayo?
sina raha sababu muhindi kala changuHadi wewe unaelewa hizo mambo mama??Haya mambo haya Everton juzi wamenikosesha kitita kwa sare yao ile........sikulala kuifikiria buku yangu na uzembe wa Everton dah
Mkuu umeangalia vizuri ni milion 284Laki mbili elfu themanini na nne+ siyo milioni mia mbili themanini na nne!
Sanaaaa.....home nakaa na wanaobet ....sasa wanakula hela hao nkaona msinitanie nifundisheni ....wakanifundisha sa hivi napambana na muhindiHadi wewe unaelewa hizo mambo mama??
Acha utani mkuu zote hizo odd ngapiKuna yule mkenya alitembea billion 4.8 za sport pesa alivyoitwa kuchukua akashikwa na kiwewe
Jackpot mkuuAcha utani mkuu zote hizo odd ngapi
Si unajua wale wenzetu washirikina mnooOyooo ko its better ukishinda ujilipue ununue hata kiwanja, ni kwanini hizo pesa za muhindi au wamezichawia ziwe hivoo![]()
![]()
Jackpot haifiki bilionJackpot mkuu
Huyo hapo mkuuJackpot haifiki bilion
dah! pole sana mkurugenzi.nimekosa mil198 ambapo huo mkeka nimeutoa mara 5 nikiwa na maana ingekuwa mil990..timu iliyoniuwa ina odd 1.06