Leo Mkeka Wa Jamaa Umetiki😂😂😂

Leo Mkeka Wa Jamaa Umetiki😂😂😂

umeniacha shoga naona 2.6 hata sielewi , majibu yakwapi sasa? na karatasi ya kutick naitoa wapi?we nipe majibu tu
Sio kazi rahisi heri ungekua karibu then Leo hakuna timu nzuri za kubet labda kesho au kesho kutwa
 
aisee jitahidi uongeze maana normal health man kw wastani anatakiwa kuwa na kilo 70
Aiseee mbona niko sawa tu na ni mzito kiasi jamani yaani niko sawa kabisa na ukiniona huwezi kusema mi mwembamba wala kinene yaani size kabisa na kuna wengine wana kilo za chini zaidi yangu yaani nkifika hizo kilo 70 maana yake mimi ni bonge nitavimbiana shingo mashavu
 
Zinazinguaga ila tunakomaa nao tu......wepesi ni hao m bet meridian kuna unafuu kwenye kubet
dah meridin waliwahi kunisumbua sana aisee na servers zao nikawasusa kabisa il nikimiss options zao basi katikati ya wiki km hivi ndo natia makinikia yangu ya weekend then naprint kabisa kwe pc yangu ili weekend nifatilie mech zangu maana kulogin ni shida, nmehmi premier bet na 1xbet mana huku hamna kodi ukila kitu unachukua nzimanzima
 
Haya mambo haya Everton juzi wamenikosesha kitita kwa sare yao ile........sikulala kuifikiria buku yangu na uzembe wa Everton dah
Dah! kweli vyuma vimekaza!!!

Leo nimekusoma bana kuhusu mikeka kumbe na wewe huwa unacheza!!!
 
Aiseee mbona niko sawa tu na ni mzito kiasi jamani yaani niko sawa kabisa na ukiniona huwezi kusema mi mwembamba wala kinene yaani size kabisa na kuna wengine wana kilo za chini zaidi yangu yaani nkifika hizo kilo 70 maana yake mimi ni bonge nitavimbiana shingo mashavu
hahahaaa, ila watraalamu wa afya ndio average yao hio kwa mwanaume but sio issue sana
 
dah meridin waliwahi kunisumbua sana aisee na servers zao nikawasusa kabisa il nikimiss options zao basi katikati ya wiki km hivi ndo natia makinikia yangu ya weekend then naprint kabisa kwe pc yangu ili weekend nifatilie mech zangu maana kulogin ni shida, nmehmi premier bet na 1xbet mana huku hamna kodi ukila kitu unachukua nzimanzima
Khaaaaaa premier bet nimeshindwa kujiunga ......ila meridian bet kwenye kudeposit hela unakatwa mpunga mrefu jaman ....kudeposit buku eti unalimwa sh mia mbili dah
 
Dah! kweli vyuma vimekaza!!!

Leo nimekusoma bana kuhusu mikeka kumbe na wewe huwa unacheza!!!
Khaaa nabet ....kuweka buku kula elfu kumi ishirini na kuendelea huoni kama ni faida hiyo???
 
hahahaaa, ila watraalamu wa afya ndio average yao hio kwa mwanaume but sio issue sana
Mimi ni mwanamke jamani ila nimecheka sana maana haya mambo wanaongeleaga wanauume vyuma vimekaza sasa mpaka wamama tunajichanganya matokeo yake ndo kama haya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom