Hii kali: usiguse funguo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hii kali: usiguse funguo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Manyanza

Platinum Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
21,600
Reaction score
56,852
IMG-20260911-WA0010.jpg

Hii ishakuwa viral sasa
Wabongo hawana dogo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
SIO rahisi KWA daktari kumpigana kwa maadili ya kazi yake na kiapo chake,hakuna daktari anahepiga watu ila anatibu watu,na inawezekana alitukanwa matusi mabaya ama alipokonywa funguo ya gari huku akitukanwa matusi,hivyo katika kuchukua funguo ya gari yake Kali yake ili awahi kwenda kutimiza majukumu yake ndipo sasa Waka angushana katika kupokonyana funguo ya gari,HAKUNAGA DAKTARI ANAYEPIGA WATU,hapo daktari alicheleweshwa kwenda kutimiza majukumu yake ya kuhudumia wagonjwa.DAKTARI YEYOTE HAWEZI KUPIGA WAGONJWA WAKE.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom