Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,450
- 25,155
Hahahahahaha mbwa kala mbwa hiyoWapo lkn nao wanaliwa tu
Hahahahahaha mbwa kala mbwa hiyoWapo lkn nao wanaliwa tu
meridian ukideposit kw tgo wanakat chache kuliko ukideposit kwa voda, premier wanakata ndg pi kuliko meridian mfano ukideposit 5000 premier cdhani kama wanakata zaidi ya miambili ila meridian udeposit 5000 halafu kwa voda nahisi wanakata mia tano na zaidiKhaaaaaa premier bet nimeshindwa kujiunga ......ila meridian bet kwenye kudeposit hela unakatwa mpunga mrefu jaman ....kudeposit buku eti unalimwa sh mia mbili dah
Itawezekana saanaaaa cha msingi jitoe ufahamu tena elfu kumi chagua timu kwa umakini mnoo kabla hujabet omba mungu japo kamali ni dhambi ila omba tu coz hata mchawi anaomba kwa mungu......kisha zichambue timu vizuri ...nakushauri utumie meridian bet ndo nzuri ahsanteNnampango Wa paua nyumba kwa hela ya kubet,ittawezekana kweli
!?
Duuh kuliwa buku Mara 4 zote ,nilivo na roho ndogo kwenye risk taking, naweza kuhairisha kubet ,ila ntajitahidii lkn naskia hizo pesa ni kama zina mashetani hivi eti hazidumu mf kufanyia investments, je ni kweli hapo?, we we ushawahi kufanyia issue ya maana kupitia pesa hizo?Nabet sana .....unaweza liwa buku Mara nne siku ukitusua unalipia zile ulizoliwa na hela ya kwenda kula bata inabakia
Dah wananikera Mimi sijui kwa nini hawakuweka direct kama m bet .....wala hatukatwimeridian ukideposit kw tgo wanakat chache kuliko ukideposit kwa voda, premier wanakata ndg pi kuliko meridian mfano ukideposit 5000 premier cdhani kama wanakata zaidi ya miambili ila meridian udeposit 5000 halafu kwa voda nahisi wanakata mia tano na zaidi
dah ndo hvyo mkuuDah wananikera Mimi sijui kwa nini hawakuweka direct kama m bet .....wala hatukatwi
Pesa za muhindi tu hazijawahi kumuendeleza mtu .....hizo ukizipata bora chap chap nenda dukani nunua kitu chochote chenye thaman ya pesa hiyo kama unajenga nunua bati misumari na vitu vingine ila sio kufanya mtaji itakufa tuDuuh kuliwa buku Mara 4 zote ,nilivo na roho ndogo kwenye risk taking, naweza kuhairisha kubet ,ila ntajitahidii lkn naskia hizo pesa ni kama zina mashetani hivi eti hazidumu mf kufanyia investments, je ni kweli hapo?, we we ushawahi kufanyia issue ya maana kupitia pesa hizo?
kesho ndo utanielekeza au?Sio kazi rahisi heri ungekua karibu then Leo hakuna timu nzuri za kubet labda kesho au kesho kutwa
Wewe hazard kumbe wanakata sh 200 mi nlijua natumia mapesa mengi nakubana mpaka unifunze
Uhuhuhuhuhuhu tafuta mkaka anayebet karibu yako atakuelekezaaa.....kukuelekeza kwa maandishi ni ngumu na hutoelewa hata kwa bundukikesho ndo utanielekeza au?
Bado wanaugonjwa...sasa tupo 1xbethawa jamaa wameshaacha ujinga wao siku za weekend? mi nliwakimbia maana ilikua kila weekend server zo znazngua
We njoo tu *mzungu* hajaribiwiWewe hazard kumbe wanakata sh 200 mi nlijua natumia mapesa mengi nakubana mpaka unifunze
Moja bet?Bado wanaugonjwa...sasa tupo 1xbet
Shem huko mnaanza kubetia sh ngapi kiwango cha chiniWe njoo tu *mzungu* hajaribiwi
kwa kweli nipate Elimu ya kutosha kuhusu kubet!Khaaa nabet ....kuweka buku kula elfu kumi ishirini na kuendelea huoni kama ni faida hiyo???
Ukianza kubet kuacha ngumu mnooo......tena haswa ukiweka mfano buku ukala 20 au 33 sijui ngapi huko huwezi kuacha kubetkwa kweli nipate Elimu ya kutosha kuhusu kubet!
Mimi nimfatiliaji na mshabiki kindakindaki wa michezo lakini sijawahi kushawishika hata siku moja kubet!
Chezeeni tu jamani! mimi ngoja nipambane na hali yangu!!Ukianza kubet kuacha ngumu mnooo......tena haswa ukiweka mfano buku ukala 20 au 33 sijui ngapi huko huwezi kuacha kubet
Hiyo 1xbet unaipataje?Bado wanaugonjwa...sasa tupo 1xbet
Ingia kwenye link www.1xbet.comHiyo 1xbet unaipataje?
Chezeeni tu jamani! mimi ngoja nipambane na hali yangu!!
Maana hiyo tahadhali ya kwamba nikicheza nikashinda kuacha ni ngumu kwa kweli hapana, nyie endeleeni tu!
