Leo Mkeka Wa Jamaa Umetiki😂😂😂

Leo Mkeka Wa Jamaa Umetiki😂😂😂

Uhuhuhuhuhuhu tafuta mkaka anayebet karibu yako atakuelekezaaa.....kukuelekeza kwa maandishi ni ngumu na hutoelewa hata kwa bunduki
Shosti hapo nje kijiweni wengi sana wanabet kijiwe kizima ila siwezi jamani maana wananiheshimu sana yaani sana ila usijali nitambana tu hazard tutakuwa sawa,hujanijibu kugelezea kupo?utakuwa unanisaidia majibu Mzigua90 inabidi darasa lianze tukitoka kula biriani tuhamie kama meridian au wapi hazard atupe elimu
 
Yes kugelezea kupo kama kawa
 
basi utakuwa unatupa majibu
hazard atawapa majibu huyo konkodi .....Mara paaap nimekupa majibu mkeka umechanika si utaniona mchawi......halafu inabidi udownload hizo app then ujisajiri ndipo uanze kubet
 
hayo yote mwalimu wetu hazard atatuelekeza hanaga shida
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom