fundinaizer
JF-Expert Member
- Dec 15, 2016
- 1,725
- 2,630
Mkuu usimpaparikie eti "kwahiyo naenda lini"? mana ukicheki sijacheza droo yoyote.haaaaaaaaaaaaaaaaaaa umenifrahisha eti huna wenge !yes dawa ya tapeli usilete wenge utajuta
Mkuu usimpaparikie eti "kwahiyo naenda lini"? mana ukicheki sijacheza droo yoyote.haaaaaaaaaaaaaaaaaaa umenifrahisha eti huna wenge !yes dawa ya tapeli usilete wenge utajuta
Leo kweli wameamua mwingine huyu......
Your mobile number has been Awarded 960,000 Euros in the 2017 Toyota Xmas Award Grants. To receive, contact Dr. Marcus via email: toyotaxmasgrants@gmail.com
nilichomjibu siri yangu.
eti jaman unaanza kufurahia weee nahuku hujacheza bahat nasibu yyt !akawaokote wasukuma wa shyinyanga huko sio wa mijini !mxiew zaoMkuu usimpaparikie eti "kwahiyo naenda lini"? mana ukicheki sijacheza droo yoyote.
Hahaahah daah,mm jamaaa wa pepsicola walitumia SMS dizaini kama yako hiyo eti nimeshinda ma-euro hee,.Leo kweli wameamua mwingine huyu......
Your mobile number has been Awarded 960,000 Euros in the 2017 Toyota Xmas Award Grants. To receive, contact Dr. Marcus via email: toyotaxmasgrants@gmail.com
nilichomjibu siri yangu.
mkuu hautaki kutembea na vimwekumweku ( ving'ora) huku ukiwa umesafishiwa njia lisaa lizima kabla ya kutoka home kwakoMjukuu wangu dawa ya kukufanya uwe raising 2025 nmeipata kisien huyu boya
Wengine wanawasubiria wachaga wanaosafiri usiku kwenda krismasi na SUBARU za kuazimaWatu wanatafuta hela ya sikukuu.